Je, unakubali ndoa au unakataa?

Je, unakubali ndoa au unakataa?

Je ni MSHANA JR au ROBERT HERIEL?


  • Total voters
    136
Kitu kinachoboa kwenye ndoa unakuta kidada kinakutega kinakunasa kijanja mnaingia kwenye ndoa

Mnapokuwa kwenye ndoa kanaanza kukuongoza kama punda wanaovuta tera,ukitaka kuweka mambo sawa kwenu hakatak,ukitaka kumsaidia mshikaj wako kanakataa,kila siku ndani ni kelele tu kanakidharau na kukulinganisha na wanaume wengine yaan kenyewe kanajiona kuzaa ni inshu kubwa sana wakati hata popo anazaa
 
Wakubwa shikamoni kuna debate inaendelea hapa jamii Forums baina ya team mbili
1) KATAA NDOA
2)KUBALI NDOA

Kwa upande kataa ndoa muwakilishi ROBERT HERIEL aliandika uzi huu

"Hakuna umuhimu wa ndoa karne hii kwa sababu hizi"​


Kwa upande wa kubali ndoa ni MSHANA JR Kaandika uzi huu

"Malezi Duni na Utandawazi ndio Chanzo cha ongezeko la mijadala ya kupinga na kukosoa ndoa na maisha ya ndoa"​

Napenda kufahamu kuwa wewe ulizaliwa Ndani ya Ndoa au Nje ya Ndoa au Ulizaliwa kupitia surrogate mother?

Jibu lako lazima liangukie kwenye haya machaguo matatu kwenye swali langu

Ukinijibu na mimi nitajibu swali lako
 
Mkuu nani kakuambia ukiwa hauna ndoa hauna majukumu , kuna Mario mmoja yupo kwenye ndoa mbona ninamlisha yeye na mke wake na watoto wangu wawili na huyo mmoja wakwake, mimi nakataa ndoa kwa mfano hai.
Huyo marioo unaemuhudumia kakuoa wewe?
 
Mshana Jr ni Kaka yangu Mkuu.
Nina mengi ya kujifunza kutokea kwake.

Kiumri, Mshana ni kizazi cha Nyuma yetu kidogo hivyo yeye kuwa na mawazo ya nguvu za Giza ni Jambo la kawaida kwani wengi WA umri wake kurudi Nyuma wapo hivyo.
Ila mkuu mshana kaongelea hii mada kiushabki zaidi na kihisia zaid, ila atatulia tu atakuja na maono yenye kuleta tija pande zote .
 
Back
Top Bottom