Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Dah! Umenikumbusha mbali maana hao wengi uliowataja sikubahatika kuwa nao.
Labda
* Lt Tweve.
* Lt Minzi.
* Huyo mnaa wa kwata.
* Mundeba.
* Mwakyusa.
Co niliekuwa nae ni marehemu Lt conl Thomas akaja major Sanga.
Ilikua raha sana enzi za major Sanga kufungua beach na kufurahi.
 
Bulombora ya demo 821 kj kitambo sana maafande hawa sitakaa niwasahau
1.silima huyu jamaa kwenye mkesha alikuwa mnaaa sana..[emoji16] [emoji16] hatoi tano hata kidogo
2.mwakibinga
3.mpemba
4.Nguyanyi huyu afande anapenda salala na kujira hatari
5.Ngwashu huyu afande alikuwa na nyimbo zake burudani sana
7.Fred huyu afande yuko vizuri sana kwenye kwata
8.simfukwe huyu afande ukisikia filimbi yake uwe umeshafoleni kombania
9.RSM Mundeba utamsikia wote kwa ujumla.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]



Maisha ya jeshi ni raha sana nakumbuka kunasiku afande mpemba alituambia haya maisha uwezi ukaishi sehemu yeyote ile maana nikikumbuka jinsi nilivyokuwa na doji na jinsi nilivyokuwa napewaga doso ni hatari
 
Kuruta ukiwa doja uwe na nguvu[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ukijua umedoji basi we kunywa maji kabisa
 
Dah aisee me nimepita, 823 kj msange pale tulikuwa mujibu na ilikuwa operation miaka 50 ya uhuru nilikuwa B coy na afande nae mkumbuka ni ng'ombe ilikuwa 2014
 
Dah aisee me nimepita, 823 kj msange pale tulikuwa mujibu na ilikuwa operation miaka 50 ya uhuru nilikuwa B coy na afande nae mkumbuka ni ng'ombe ilikuwa 2014
mkuu ulikua nakina afande fid pale b coy..nlikua nakuja sana combania yenu usiku pale,, natega mingo zangu kwa dogo mmoja alkua anaitwa careen mtt wa g wa clouds....ila kama ni zamu ya afande fid nlikua sisogei b coy maana mda wowote anahalibu hali ya amani madoso yanaanza af upo katkat kutoka shida...
 
Op miaka 50 ya jkt.......824kj kanembwa ya demo...........ego coy pale......kulikuwa na private mmoja anaitwa magesa (R.I.P) hatari saaana....mwendo n wa kuchomeka.......uelekeo American village...........muda wa kwata uso kwa uso na dakanyama(R.I.P) hilo kwata la hatariiii.........tano la kutosha kutoka kwa sirmajor kitalekwa (R.I.P) maisha yalikuwa rahaaaa!!!! Hasa kwa sie tuliokuwa ma ST!!!!!
Kurutu sifa kutimia zen nnawamwaga!!!!
 
Kuruta ukiwa doja uwe na nguvu[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ukijua umedoji basi we kunywa maji kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikuwa nawadoji mbaka nikawa na kitambi,kuna siku sir major akaniona akasema yani kuruta unakitambi [emoji23] [emoji23] [emoji23] alimind sana ingawa kwenye madoso nilishazoea
 
Usawa wa guduria kwa mwendo wa kunyakua nyakuaaa...up up up....
 
Hii thread bado tu ipo hai hadi leo tokea Mwaka 2008? 😉😉
Inamiaka 10 sasa ila bado ipo maana inatukumbusha maisha ya shida sana kama mm maisha ya 832kj kisha nikajikuta nipo 843kj picha linaanza sehemu haina network wala umeme sitoisahau jakata chai mpaka umalize mraba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…