Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Umenikumbusha mbali maana hao wengi uliowataja sikubahatika kuwa nao.Mimi nimepita 821 KJ kwenye OP Miaka Hamsini ya JKT.Nilikua kombania F chini ya sargeant major Abednego na O.C wetu alikua Lt Ntwa (RIP) baade Lt. Sheng'oma Wakati huo C.O alikua Major Mrosso ambae alistaafu mwaka uliofuata.
Namkumbuka private mwenye visa na vituko sana anaaitwa John a.k.a Wezele Wezele ,namkumbuka matron Manento ,namkumbuka Lt. Minzi na Mwakibinga na private mnaa wa kwata kikosi kizima anaitwa Tarimo
Moments za bustani,shamba la mahindi na mkesha pale uwanja wa damu.Mbio za cross country na mazoezi ya pori na kupiga risasi bandia kule kwenye vijiji vya raia
Kikubwa kuliko vyote nakumbuka chenja aisee
Namkumbuka afande RSM Mundeba E.B[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ana mikwara ni hatari
Bulombora ya demo 821 kj kitambo sana maafande hawa sitakaa niwasahauMimi nimepita 821 KJ kwenye OP Miaka Hamsini ya JKT.Nilikua kombania F chini ya sargeant major Abednego na O.C wetu alikua Lt Ntwa (RIP) baade Lt. Sheng'oma Wakati huo C.O alikua Major Mrosso ambae alistaafu mwaka uliofuata.
Namkumbuka private mwenye visa na vituko sana anaaitwa John a.k.a Wezele Wezele ,namkumbuka matron Manento ,namkumbuka Lt. Minzi na Mwakibinga na private mnaa wa kwata kikosi kizima anaitwa Tarimo
Moments za bustani,shamba la mahindi na mkesha pale uwanja wa damu.Mbio za cross country na mazoezi ya pori na kupiga risasi bandia kule kwenye vijiji vya raia
Kikubwa kuliko vyote nakumbuka chenja aisee
Namkumbuka afande RSM Mundeba E.B[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ana mikwara ni hatari
Unasoma nini mkuu.Kawatafutie facebook huku ni pa wasomi
Kuruta ukiwa doja uwe na nguvu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Bulombora ya demo 821 kj kitambo sana maafande hawa sitakaa niwasahau
1.silima huyu jamaa kwenye mkesha alikuwa mnaaa sana..[emoji16] [emoji16] hatoi tano hata kidogo
2.mwakibinga
3.mpemba
4.Nguyanyi huyu afande anapenda salala na kujira hatari
5.Ngwashu huyu afande alikuwa na nyimbo zake burudani sana
7.Fred huyu afande yuko vizuri sana kwenye kwata
8.simfukwe huyu afande ukisikia filimbi yake uwe umeshafoleni kombania
9.RSM Mundeba utamsikia wote kwa ujumla.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maisha ya jeshi ni raha sana nakumbuka kunasiku afande mpemba alituambia haya maisha uwezi ukaishi sehemu yeyote ile maana nikikumbuka jinsi nilivyokuwa na doji na jinsi nilivyokuwa napewaga doso ni hatari
op gani mkuu823 Msange
mkuu ulikua nakina afande fid pale b coy..nlikua nakuja sana combania yenu usiku pale,, natega mingo zangu kwa dogo mmoja alkua anaitwa careen mtt wa g wa clouds....ila kama ni zamu ya afande fid nlikua sisogei b coy maana mda wowote anahalibu hali ya amani madoso yanaanza af upo katkat kutoka shida...Dah aisee me nimepita, 823 kj msange pale tulikuwa mujibu na ilikuwa operation miaka 50 ya uhuru nilikuwa B coy na afande nae mkumbuka ni ng'ombe ilikuwa 2014
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikuwa nawadoji mbaka nikawa na kitambi,kuna siku sir major akaniona akasema yani kuruta unakitambi [emoji23] [emoji23] [emoji23] alimind sana ingawa kwenye madoso nilishazoeaKuruta ukiwa doja uwe na nguvu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukijua umedoji basi we kunywa maji kabisa
Mkuu na mimi Nilipitia 835KJOp kilomo kwanza
Danger Coy
835 KJ
Wali nazi
Ohoo mambo ya kimbinyikoMkuu na mimi Nilipitia 835KJ
Mkuu na wewe wa kule kule nini??Unamkumbuka kayange??Aande anabonge pengo na ana tusi lake moja hilo hiloOhoo mambo ya kimbinyiko
Inamiaka 10 sasa ila bado ipo maana inatukumbusha maisha ya shida sana kama mm maisha ya 832kj kisha nikajikuta nipo 843kj picha linaanza sehemu haina network wala umeme sitoisahau jakata chai mpaka umalize mrabaHii thread bado tu ipo hai hadi leo tokea Mwaka 2008? 😉😉