Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

mlima nguruwe, shamba maalum, wapi tena?? Nimeshapasahau jamani!!!!! Yale mashamba ya kule mbaaaali panaitwaje mkuu??
Njoo idetero tunakaribia kuanza palizi ya kwanza
Tutaanzia idetero kubwa,then idetero ndogo afu tutamalizia na shamba la kikosi
 
Aisee mimi nlikua nakereka na jambo moja tuuu yaan

SIKU YA JUMAATANO NI UGALI NYAMA MCHANA SASA ULE MDA WA CHAKULA ULE MNAAMBIWA KURUTI UELEKEO KUZIMA MOTOO

Wale jamaaa sijui walikua wanawasha moto makusudi duuh[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]yan ikifika jtano mzee kinanuka unakuta pori linateketea mzee

824Kj hioo[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kanembwa
 
Kupewa nafasi ya kupumzika au kulala.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Shikamoo babu
 
Kuamka saa 9 [emoji3064]

hapo kombania umetoka may b saa 6 coz mmechelewa kuhesabiwa[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

but jeshi ni kuzuri sana kama huna kiburi nimepamiss sana[emoji13][emoji13]

nimemiss mihogo[emoji2][emoji2] yaan tulikua yunalazimisha kwenda tu route flan kisa tu kule wanauzaga mihogo na kachumbari tamu sana so hapo baada ya majukumu unajibless kama hivo

na vitumbua hasa vya matron afande and usiombe maafande wawe wanakupenda i mean upendo tu kama kuruti utaenjoi Saaana[emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060]
 
Kupakawa majivu usoni na kubeba gogo la Kuni kama RPG begani alaf nazungushwa nalo mchana kutwa zinakua zinapigwa filimbi kila baada ya hatua 5 napiga goti

Hiyo inanihusu Mimi doja sugu nyie wengine mtulie kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…