Daktari wa Manchester
JF-Expert Member
- Jun 1, 2020
- 350
- 403
Disco. Kusimama mbele za watu unaanza kuimbisha nyimbo(sio za kisiasa) niliona michosho. Mengine ya kawaida tu
🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Disco. Kusimama mbele za watu unaanza kuimbisha nyimbo(sio za kisiasa) niliona michosho. Mengine ya kawaida tu
Zambeee mamaaa... Kilimaaa mbeee kilimaaa kilimaaa mbeeee kilimaaa mbeee...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hakuna Nyimbo tamu kama Chenja dunianiii...
JKT mafinga baridi kama lote
mlima nguruwe, shamba maalum, wapi tena?? Nimeshapasahau jamani!!!!! Yale mashamba ya kule mbaaaali panaitwaje mkuu??Pale so poa
mlima nguruwe, shamba maalum, wapi tena?? Nimeshapasahau jamani!!!!! Yale mashamba ya kule mbaaaali panaitwaje mkuu??
Kubabake!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shamba Dunia au ???
Njoo idetero tunakaribia kuanza palizi ya kwanzamlima nguruwe, shamba maalum, wapi tena?? Nimeshapasahau jamani!!!!! Yale mashamba ya kule mbaaaali panaitwaje mkuu??
Afande kumtaka demu, demu akizingua wote mnakula doso.
Mkuu hili shamba dunia liko maeneo gani?? mimi nilikuwa nimesahau IDETERO, kuna mkuu hapo juu amenikumbusha.Shamba Dunia au ???
KanembwaAisee mimi nlikua nakereka na jambo moja tuuu yaan
SIKU YA JUMAATANO NI UGALI NYAMA MCHANA SASA ULE MDA WA CHAKULA ULE MNAAMBIWA KURUTI UELEKEO KUZIMA MOTOO
Wale jamaaa sijui walikua wanawasha moto makusudi duuh[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]yan ikifika jtano mzee kinanuka unakuta pori linateketea mzee
824Kj hioo[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Kupewa nafasi ya kupumzika au kulala.Habari za asubuhi,
Ni siku nyingine tena Mungu anatupa kibali Cha kuiona siku ya Leo
Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza hapo ju je ni kitu Gani kilikuwa kinakukela kipindi upe jeshini (mujibu wa sheria au uzalendo)
Kiujumla mimi nilikuwa nakeleka sana na mabio yani unakimbia kuelekea kuifuata chai [emoji1787][emoji1787] ila kwa muda mwingine nilipendelea changer sana nikiwa jeshini
Wewe je?
Kanembwa
Shikamoo babuHuyu anaongelea hii ya watoto.
JKT ilikua miaka ya 88 kurudi chini.
Enzi za afande Sanga, afande Mlay afande Mtono. Meja Jenerali Mkisi na tabia zake za ajabu.
Kwenye mbuzi alikua anakula Figo tuh. Sasa niambie Figo za mbuzi ngapi anaweza kushiba Jenerali?
JKT ya zile kambi nane.
Oljoro
Mgambo
Makutpora
Msange
Bulombora
Mafinga
Ruvu
Mlale.
Enzi zile kila kitu unakikuta kule kuanzia
Bukta
Green vest
Kombati
Buti
Mess tin Tena mbili
Blankerti
Yaani wewe unakwenda na mwili tu.
Vp fatiki ya tofali za kuchoma?mlima nguruwe, shamba maalum, wapi tena?? Nimeshapasahau jamani!!!!! Yale mashamba ya kule mbaaaali panaitwaje mkuu??