Ulikuaga kombania ipi? [emoji3]Daaah nimemmiss sana maisha ya 841kj, kipindi hicho unakutana na Captain Moshi hakuna, ukizubaa ukamkuta mesi mda wa chai basi mnakimbia Hadi uwanja wa damu mnakuja kunywa chai.
Kitu pekee nlichokuwa cpend ni kukesha usiku Hadi saa 6 7 na kuamshwa saa 9 na Afande Madoso.
Ila kwenye mazoezi na mabio nlikuwa mstari wa mbele sana na ni michezo nayo ipenda
Bila kusahau Yombo, mbola kwa mshuhuma n.kMabio jamaniii mamaee kuna ilee route za jioni mmetoka kula zilikuwa zinakera sana...!! Toka kambini pitia Rest house mpaka kwa Msange na kurudi...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Bila kusahau ulikuwa unapewa ''warrant'' ili utumie kusafiri kwenda, na pia wakati wa kurudi.Huyu anaongelea hii ya watoto.
JKT ilikua miaka ya 88 kurudi chini.
Enzi za afande Sanga, afande Mlay afande Mtono. Meja Jenerali Mkisi na tabia zake za ajabu.
Kwenye mbuzi alikua anakula Figo tuh. Sasa niambie Figo za mbuzi ngapi anaweza kushiba Jenerali?
JKT ya zile kambi nane.
Oljoro
Mgambo
Makutpora
Msange
Bulombora
Mafinga
Ruvu
Mlale.
Enzi zile kila kitu unakikuta kule kuanzia
Bukta
Green vest
Kombati
Buti
Mess tin Tena mbili
Blankerti
Yaani wewe unakwenda na mwili tu.
Daaah nimelala sana porini pale sehemKunyimwa usingizi so poa mana mi pale makutu nilikuwa nabeba godoro wakituamsha then polini huyoo
Alpha company kakaUlikuaga kombania ipi? [emoji3]
Pamoja man.Alpha company kaka
Mwaka gani hiyo mkuu mie 2017Pamoja man.
mnabahati mlikua hampangiwi maafande wanaa kama wenzenu wa Charlie, Danger na Eagle
Dakika sifuri tu watu washapigwa nua, wamesimika, mara wana-roll [emoji3]
Unampata Afande jashoPamoja man.
mnabahati mlikua hampangiwi maafande wanaa kama wenzenu wa Charlie, Danger na Eagle
Dakika sifuri tu watu washapigwa nua, wamesimika, mara wana-roll [emoji3]
Mwaka gani hiyo mkuu mie 2017
Mkuu kweli ulikuwa msange Hata Mimi nilikuwa huko pande hizo nazijua vizuri Kwa msukuma...Kuna Ile inshu ya kwenda kuzima moto Mimi nilikuwa eagle Kwa sameja Michael Kasembe na ofisa cardate BakariBila kusahau Yombo, mbola kwa mshuhuma n.k
Daaah nimelala sana porini pale sehem
inashort ulikuwa unajila sioMi niliamua kufanya kila niambiwacho kwa 100%.
Hakuna kutegea, kujificha wala nini.
Na siku nyingine nikimaliza mraba wangu mapema namsaidia yeyote yule.
Kila tabu au adha niliifanya kuwa fursa na raha.
Hiyo kanuni ninaitumia huku uraiani pia hakuna kulialia.
hii op nimewatesa sanaa... as SMMabio ya asubuhi yalikuwa yanakera kinoma Yani ukizingatia na hali ya baridi ya Mafinga [emoji23][emoji23] enzi hizo 2019 841 KJ Operation Makao Makuu Dodoma
Jeshi vitu vingi vinafanana kuanzia misemo adi machangerHIVI KUMBE KILA KAMBI INA ROUTE YA KWENDA KWA MSUKUMA??????
Hilo lihoteli umesotea linaitwa RECREATION tunaendaga kupiga vyombo na kuruka majoka kila weekendMkuu hili shamba dunia liko maeneo gani?? mimi nilikuwa nimesahau IDETERO, kuna mkuu hapo juu amenikumbusha.
Halafu kuna CHANGARAWE (Kuna lijengo kubwaaa sijui ni hoteli, tulisota sana kipindi linajengwa