Don Vito
JF-Expert Member
- Jul 15, 2018
- 1,342
- 2,105
Ulikuaga kombania ipi? [emoji3]Daaah nimemmiss sana maisha ya 841kj, kipindi hicho unakutana na Captain Moshi hakuna, ukizubaa ukamkuta mesi mda wa chai basi mnakimbia Hadi uwanja wa damu mnakuja kunywa chai.
Kitu pekee nlichokuwa cpend ni kukesha usiku Hadi saa 6 7 na kuamshwa saa 9 na Afande Madoso.
Ila kwenye mazoezi na mabio nlikuwa mstari wa mbele sana na ni michezo nayo ipenda