Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Camp: 835 KJ Mgambo/GendaGenda.
Intake: Operation vyama vingi.
Comment: Sikuipenda JKT wala kuichukia. Mliokosa kwenda JKT hamjapoteza kitu wala msikonde.
Pros: Ninachushukuru hadi leo : Kukutana na marafiki wapya ambao most of them hadi leo tuna-keep in touch na tumekuwa close sana.
Cons: Akina dada waliambukizwa sana Ukimwi na maafande na wengi wao walikufa baada ya miaka michache.
The most memorable events: ## Nilitoroka around saa 9 usiku nikiwa mwenyewe na nikatembea kwenye giza. Baada ya kutembea kama kilometa 6 hivi nikakutana na nyati. Akanitoa baruti. Sijui nilipata wapi ujasiri na nikakwea mti uliokuwa karibu. Sikuogopa wala kujali kabisaa. Nilikaa juu ya mti hadi saa 3 asubuhi na wakatokea watu wengine wakipita njia hiyo na nikaungana nao.
##Afande Lions Corporal Kablas alinikuta nimelala msituni baada ya kukimbia kazi. Alianza kunichimbia mkwara mzito. Niligadhibika na nilimtandika ngumi nne mfululizo za uso kisha nikamkwida kabali ya nguvu hadi akaniomba msamaha
 
Ruvu JKT Operation miaka 30 ya uhuru. Nakumbuka

1. Siku ya 'bogi' tukiwa tumekimbilia porini tunawasikiliza masulela waliokamatwa kupelekwa Chita wanaimba ' Eende Chita ubaki Ruvu, yote makambi makubwa, ioooo, hooooooo, ooo, yote makambi makubwa'

2. Siku nilipisingizia kuumwa kwa Dr Omar akagundua nadanganya badala ya kuniandikia C akaniandia A nikapiga mzigo kibao.

3. Hanga la mahepeeeeeeeeeeeee, Richard Kasesela upooooooooooooo!
 
Camp: 835 KJ Mgambo/GendaGenda.
Intake: Operation vyama vingi.
Comment: Sikuipenda JKT wala kuichukia. Mliokosa kwenda JKT hamjapoteza kitu wala msikonde.
Pros: Ninachushukuru hadi leo : Kukutana na marafiki wapya ambao most of them hadi leo tuna-keep in touch na tumekuwa close sana.
Cons: Akina dada waliambukizwa sana Ukimwi na maafande na wengi wao walikufa baada ya miaka michache.
The most memorable events: ## Nilitoroka around saa 9 usiku nikiwa mwenyewe na nikatembea kwenye giza. Baada ya kutembea kama kilometa 6 hivi nikakutana na nyati. Akanitoa baruti. Sijui nilipata wapi ujasiri na nikakwea mti uliokuwa karibu. Sikuogopa wala kujali kabisaa. Nilikaa juu ya mti hadi saa 3 asubuhi na wakatokea watu wengine wakipita njia hiyo na nikaungana nao.
##Afande Lions Corporal Kablas alinikuta nimelala msituni baada ya kukimbia kazi. Alianza kunichimbia mkwara mzito. Niligadhibika na nilimtandika ngumi nne mfululizo za uso kisha nikamkwida kabali ya nguvu hadi akaniomba msamaha
Kama wapo tuliokuwa pamoja danger coy kwa mzee Rwekaza Lyakutununta na Danda naomba tufahamishane. Maana tuliishi vizuri na kwa upendo na ushirikiano katika maisha yetu ya kukurutu na hatimaye kiser iceman. Tukumbushane tulivyotafuna miraba ya Idetelo na tulivyokungutwa na vyua za wakati tukienda na kurudi shambani. Wimbledon watu ulikuwa Danger yetu ni ya mashujaa twaitekeleza kwa votendo bila shaka tutaendelea Danger coy oyeeee. Wakati huo tukiea chini ya kwaya masta Mariba na wakati mwingine Makulilo Kasella
 
kule kunakitu kinaitwa 'wepesi' yani unafanya kosa afu unajisafisha within few minutes, ukiwa wewe ni mzee vindo, unajinyuka vitu vyako kimya kimya kule maporini afu maisha yanasonga...
in any case ukikamatwa, utapewa adhabu kulingana na cheo ulichonacho...
*kama ni raia ama mzalendo utapata msamaha ama vizoezi vya kizushi....
*kama ni kurutu (utakula doso/kazi) utachakazwa kwa mazoezi ya kijeshi, ni hatarrrr
uzuri jeshi sasa hivi linazingatia haki za binadamu na afya kwa ujumla so kuna baadhi ya mazoezi yamefutwa mf beba dunia, bakora/fimbo, mabanzi/makofi ya usoni (slap)
*ukiwa service kuna adhabu ya kuenda lindo za usiku kwa siku kadhaa...
wrlcome
Hiyo ya kubeba dunia ilikuwaje mkuu?
 
Wizara husika itatangaza nafasi za kujiunga na jkt....baada ya kutangaza, utaenda ofisi za mkoani ama wilayani kwako then utajiandikisha...

Wawakalishi wa jkt watakuja hapo mkoani kufanya usaili, wale watakaofikia vigezo watachukiliwa na kupangiwa utaratibu wa kuripoti makambini....
Zoezi hili halibagui umri chini ya 30, dini, kabila wala elimu, japo wenye fani huwa wanapewa kipaumbele zaidi...

U really are a truly patriot mkuu:thumbup: keep up the gud work.
 
Kama wapo tuliokuwa pamoja danger coy kwa mzee Rwekaza Lyakutununta na Danda naomba tufahamishane. Maana tuliishi vizuri na kwa upendo na ushirikiano katika maisha yetu ya kukurutu na hatimaye kiser iceman. Tukumbushane tulivyotafuna miraba ya Idetelo na tulivyokungutwa na vyua za wakati tukienda na kurudi shambani. Wimbledon watu ulikuwa Danger yetu ni ya mashujaa twaitekeleza kwa votendo bila shaka tutaendelea Danger coy oyeeee. Wakati huo tukiea chini ya kwaya masta Mariba na wakati mwingine Makulilo Kasella

Mkuu nilikuwa hapo juzijuzi tu
Danger coy ya mananga siku hizi
Kitu ego coy ndo inatsha gendagenda komsanga na bwawan still bad nwes
 
Sitasahau wakati huo niko 835 kj
Nmedoji michungwan
Mda wa roll co ukafka na wakagundua kurutu wa mungu mmoja hayupo
Bas pale kurutu wakapata shida
Wakaambiwa hawana ushirikiano
Bas wakawa wanapiga push up
Wakienda chin wanasema "devi njoo "
Wjurisdiction juu wanasema "utatuumiza "
Bila ajizi nikaamua kujitokeza Afu siku ile ilikuwa imenyesha mvua na udongo wa kabuku mnavyoujua
N mwendo wa kuroll kutoka usawa wa coy ya ego mpaka amala na kurud
 
Ndugu zangu

Naenda kambi ya Mgambo Kabuku Tanga kwa mafunzo ya jeshi la Kujenga Taifa. Ninaomba waliopita kambi hii wanijulishe mambo ya ndani ya kambi hii, historia yake na mazingira yake. Nataka nione maisha ya jeshini haswa na kama itawezekana nifanye kazi ya kujitolea kufundisha shule ya kata ya jirani kama ipo.

Nakumbuka siku umefka mgambo
Ulifka saa mbili usiku ukiwa na dereva wako
Ukatukuta getin NiliKuwait zamu siku hio
Tukakoti mashine zetu kama kawaida tukakuamuru ujitambulishe
Kisha tukakuruhusu kuingia
Kesho yake akafka mwenzio idd azan
Nae a
kala kazi (jeshi noma hakuna cha ubunge )
yote tisa kumi hutosahau ulipopga picha kambin afu ukapost Facebook na instagram
Uliporud hutasahau

PONGEZI
uliongoza range kati ya wabunge wote
Na nilifurah pale mc afande mwinjuma alupoanza kusema
"Alieongoza range ni AG 0006
Service man zito zuberi kabwe
 
Wewe uliye vaa GREEN VEST NYEKUNDU njoo hapa. kwanini unavaa green vest nyekundu. wewe ni afande. Haya mawe mabegani kwangu unafikiri nimenunua RTC ?? WATU HAWA KWA MWENDO WA KULEKUA. MACHO MBELE MIKONO MBELE NA NYUMA. MESS TIN KIFUANI MBELEEEEE TEMBEA. MSANGE JKT. OPERATION NIDHAMU. AFANDE SGT WELLAH
 
I have gone all over this lines of yours and it brought a lot of warm memories. I have used almost all my Saturday on this and like my JKT adventure, I am not regretting. I have a lot to share, and will try to narrate what I have. piece by piece. Oh, sorry, let me introduce myself: 832KJ Ruvu JKT. `85 to `86. That is Operesheni OKOA, was in A COY before going to Mgulani for Nyerere farewell parade and ending up in the so called day camp aka Mlalakua Ujenzi. Counted myself as one of the best JONGOLISTS of that intake :cool2:, going with the name of Moses M. So stay tuned guys...
 
Sitosahau siku nimetoroka kambini Mgambo jkt Tanga na kurud nyumban kwa issue ya kufuatilia chet changu cha 4m 4 kwa muda wa cku mbili na ya ta3 nikarud na kupigwa <doso> na private na kudek bweni kwa nguo nilizokuwa nimeva (green vest and pt short~bukta) nilijuta kuingia jkt na aliamua kunipeleka mahabusu na nikafunguliwa maxhtaka na kuhukumiwa kifungo cha week 2 na kaz ngumu <kulimia michungwa> nilinxhukuru mungu kumaliza mafunzo ya miez 6 mpaka xaxa nimekuwa axkari mzuri xana, jkt ni chombo ambacho kinakufanya unakuwa na uzalendo na nchi yako. JKT nzr karibun makamanda 2we weng.
 
Camp: 835 KJ Mgambo/GendaGenda.
Intake: Operation vyama vingi.
Comment: Sikuipenda JKT wala kuichukia. Mliokosa kwenda JKT hamjapoteza kitu wala msikonde.
Pros: Ninachushukuru hadi leo : Kukutana na marafiki wapya ambao most of them hadi leo tuna-keep in touch na tumekuwa close sana.
Cons: Akina dada waliambukizwa sana Ukimwi na maafande na wengi wao walikufa baada ya miaka michache.
The most memorable events: ## Nilitoroka around saa 9 usiku nikiwa mwenyewe na nikatembea kwenye giza. Baada ya kutembea kama kilometa 6 hivi nikakutana na nyati. Akanitoa baruti. Sijui nilipata wapi ujasiri na nikakwea mti uliokuwa karibu. Sikuogopa wala kujali kabisaa. Nilikaa juu ya mti hadi saa 3 asubuhi na wakatokea watu wengine wakipita njia hiyo na nikaungana nao.
##Afande Lions Corporal Kablas alinikuta nimelala msituni baada ya kukimbia kazi. Alianza kunichimbia mkwara mzito. Niligadhibika na nilimtandika ngumi nne mfululizo za uso kisha nikamkwida kabali ya nguvu hadi akaniomba msamaha

Tulikuwa op moja hapo Mgambo JKT umenikumbusha afande Kablas wa kitengo cha punda. Mi nilikuwa E-coy kwenye hanga la J.S Warioba. Namkumbuka CO Chale, afande Molanga. Vipi juisi ya machungwa na tosi? Umenikumbusha mbali.
 
Namkumbuka Afande Mutu na Maganga wa Danger Coy Maktupora (1983). Na Afande Doto alivyokuwa anamsumbua John Pombe Magufuli
 
Sitasahau wakati huo niko 835 kj
Nmedoji michungwan
Mda wa roll co ukafka na wakagundua kurutu wa mungu mmoja hayupo
Bas pale kurutu wakapata shida
Wakaambiwa hawana ushirikiano
Bas wakawa wanapiga push up
Wakienda chin wanasema "devi njoo "
Wjurisdiction juu wanasema "utatuumiza "
Bila ajizi nikaamua kujitokeza
Afu siku ile ilikuwa imenyesha mvua na udongo wa kabuku mnavyoujua
N mwendo wa kuroll kutoka usawa wa coy ya ego mpaka amala na kurud
Mkuu nimecheka sana hapo, kama picha naiona hivi.
 
yaan ndgu umenikumbusha mengi sana,nilianzia mafinga jkt op miaka 20 ya azimio la arusha(june 1987-june 1988)baada ya kumaliza form VI pale milambo sec tabora,nilipangiwa jkt mafinga nlikuwa na school mate wangu anthony thomas(tony lover) ,gosbert john(mwamba) wote hawa nilikuwa nao O-LEVEL Azania sasa hivi wote ni marehemu.Nnakumbuka jinsi nilivyojifanya mimi ni usalama wa taifa na maafande kuniogopa kwa kunipa kazi ndogondgo,nawakumbuka afande lubega,masoli hawa co watu ni wanyama kabisa.Service YANGU nilikuwa buhemba,kule kdgo ilikuwa safi lakini kuna afande mausha alinikera sana kwani mwanamke(service woman) aliyemtaki yeye alikuwa gf wamgu kwahiyo tulikuwa hatuivii kabisa.

HAPA NI MARAMBA JKT 1989/90 CHINI YA AFISA MTEULE II AFANDE SAMUEL MAKWAYA NA AFISA MTEULE II AFANDE MADUMA, MKUU WA KIKOSI MAJOR URIO NA BAADAE Con. LYARUU MAJOR MWAKISYALA AKIWA 2i/c.
afande lyaruu alikuwa kama raia fulani aliishi sana DAR AKAHAMISHIWA MARAMBA KAMA ADHABU BAADA YA KUKINYIMA KIKOSI CHA MARAMBA MAHITAJI YA VIFAA MBALIMBALI VIKIWEMO, UNIFORMS, BOOTS JAMBO AMBALO LILIKUWA HATARI SANA KWA ASKARI KWA KUFANYA KAZI NA MAZINGIRA MAGUMU YA KUVAA KANDAA KANDAMBILI KAZINI KWENYE MASHAMBA AMBAKO KUNA NYOKA. PIA KULALA KWENYE VITANDA VILIVYOFUNGWA KWA MITI KAMA UCHAGA WA MAHINDI BILA KAMBA NDIPO AKALETWA NA MKUU WA JKT MEJA GENERALI MAKAME RASHID. SIKU MOJA AKAJA NA KUANZA KUSHUSHUA MBELE YA ASKARI BAADA YA KUTEMBELA COMBANIA ZOTE HADI MATEMBONI. KWENYE HOTUBA ALIMSHUTUMU WAZIWAZI KUWA YEYE NDIYE ALIYEKUWA CHANZO CHA MATATIZO YALIYOKUWEPO HAPO KIKOSINI. AKASEMA ALIAMUA KUMLETA HAPO AJIONEE MABAYA ALIYOKUWA ANAYATENDA NA KUSEMA UKITAKA MTOTO AKUE MPE MCHAWI AKULELE. AFANDE MWAKISYALA ALIKUWA MTU MMOJA ASIYE MZAHA. SIKU YA PARADE NAKUAMBIA MTAPIGA KWATA HADI BASI. MWANAUME MREFU MWEUSI WA MPINGO NA KIPARA JUU KINANG'AA KAMA NDEVU ZA HAROUN, HACHEKI YULE MTU WALA NINI NATOA AMRI KALI BILA MZAHA. SIJUI YUPO AMA VIPI MAANA NI 25 YEARS HADI SASA.

SIKU MOJA NILIKUWA NA B KUTOKANA NA MALARIA LAKINI NIKARUDI HANGANI KUPIGA STORI NA WASHIAKAJI MITAA YA SAA 4 HIVI AKAJA AFANDE MWITA KUKAGUA WATORO WA KAZI. SIKUWA NA UJANJA ZAIDI YA KUSBIRI SULUBA YA AFANDE SAJINI CHACHA MWITA. HUYU AFANDE ALIKUWA HATARI SANA KWA ADHABU ZA QUARTER GUARD. KULIKUWA NA KIAMBAZA NJE YA CHUMBA/HANGA LA KULALA AMBALO SISI HUWEKA MAJEMBE AU VIFAA VINGINE. BASI NIKASOGEZA MPINI UKAWA UNAONEKANA WAZI MIMI NAKABANA KIMYA NA NIKAMINYA PUMZI KIJESHI ASISIKIE KAMA KUNA MTU ENEO. AFANDE CHACHA AKAPITA NDANI NA KUKAGUA C ZA WALIOKUWEMO NDANI NA KUONDOKA. MIMI NIKARUDI BASI IKAWA KICHEKO MBAVU HAKUNA. LAKINI KM ANGENIKUTA SIKU HIYO NINGERUDI HOI BIN TAABANI KAMA SIO MAITI. JESHINI KUFA HAIKUWA ISHU KWANI TAARIFA ILIKUWA IKITOLEWA KUWA ALIKUFA KTK MAZOEZI YA KIJESHI.
DISKO LILIKUWA KAMA KAWA.
1. K: MALELA MALELA MALELA MALELA MALELA X2
KIITIKIO:MALELA KUMBAKUMBAKUX2
 
Nawakumbuka askari wenzangu ndg samuel jackson bwanashamba na samuel jacson bwana mifugo wote tulikuwa kikosi 1. Pia namkumbuka leonard mleo ambaye sasa ni dokta wa binadamu huko kibong'oto, makundi, mwakipesile . Karimu ibrahimu msemo na lusajo nkundwe mwalukasa. Wako wapi hawa. Tuwasiliane kwa mtandao huu
 
Back
Top Bottom