AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 953
Camp: 835 KJ Mgambo/GendaGenda.
Intake: Operation vyama vingi.
Comment: Sikuipenda JKT wala kuichukia. Mliokosa kwenda JKT hamjapoteza kitu wala msikonde.
Pros: Ninachushukuru hadi leo : Kukutana na marafiki wapya ambao most of them hadi leo tuna-keep in touch na tumekuwa close sana.
Cons: Akina dada waliambukizwa sana Ukimwi na maafande na wengi wao walikufa baada ya miaka michache.
The most memorable events: ## Nilitoroka around saa 9 usiku nikiwa mwenyewe na nikatembea kwenye giza. Baada ya kutembea kama kilometa 6 hivi nikakutana na nyati. Akanitoa baruti. Sijui nilipata wapi ujasiri na nikakwea mti uliokuwa karibu. Sikuogopa wala kujali kabisaa. Nilikaa juu ya mti hadi saa 3 asubuhi na wakatokea watu wengine wakipita njia hiyo na nikaungana nao.
##Afande Lions Corporal Kablas alinikuta nimelala msituni baada ya kukimbia kazi. Alianza kunichimbia mkwara mzito. Niligadhibika na nilimtandika ngumi nne mfululizo za uso kisha nikamkwida kabali ya nguvu hadi akaniomba msamaha