Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaa, nilikua sielewagi kbs hizo kwata [emoji3]Wee inaonyesha ulikuwa unaanza kutanguliza mguu wa kulia ndo maana u nanga ulikuwa hauishi
Nlikuwa pale....kudogia mtoni Kule au mang'atikaKumbe na wewe ulikua pale mkuu?
St njoo na msururuAndaa nguvu kunywa maji kabisa weee kimbiza mwili jina huku tunaloo
Bravo coy ni miaka kadhaa nyumaNoma sana Bob!! Ulikua combania gani
pot ulikuwa kombania ipi, mi nilikuwa c coy ya demo na koplo faki , mzee wa kumekucha uwanja wa mabatiniService man Manyanya op miaka 50 ya JKT, Ruvu moja
Kenge wa Pakistan utasikia"mdogo wangu we shoga au?"Ahaaaaa! Mabio yale noma aise vipi unamkumbuka kenge wa Pakistan au na yule afande aliyekua anaendesha Iveco
Ukitomba kazi uwe na nguvu za kumudu kadablaKutomba kazi ni kuharibu kazi
Nitonye inbox jina la huyu waziriNjoo juu ya mwembe porini nimefichama, halafu akaja mdada, upande wa chini, anakunya kichakani, halafu mungu sii athumani aliwahi kuwa waziri
Toto dogo sana wewe. Msange JKT opt Nidhamu 86/87823KJ msange JKT Tabora mwaka 2013
[emoji23] Jambo Afande!, yeah nilikuwa ya Mujibu tu tulipiga depo ya miezi 3 tu na sio full 6 months. Hii ya mujibu hata haiifikii level ya kujitolea[emoji3]Toto dogo sana wewe. Msange JKT opt Nidhamu 86/87
Full masinondoka foocrasesscockroach mende
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wazee wa kutomba kazi daaaaahhh jeshi bhana[emoji119]Ukitomba kazi uwe na nguvu za kumudu kadabla
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kiwi mixer maji mpaka kiShine [emoji119]Nakumbuka usafi kuunguza pua za but zikiwa mpya [emoji23]