Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

op miaka 5o ya jkt,nilikuwa ruvu alikopotea malela,namkumbuka best mzee wa mibiyo.yule jamaa noma, wkati wa msosi alikuwa anaatoa root ndefu kinomaa ,sometime nilikuwa naaona bora nikae njaa kuliko kuufuata msosi kwa mbio
 
Ahaaaaa! Mabio yale noma aise vipi unamkumbuka kenge wa Pakistan au na yule afande aliyekua anaendesha Iveco
Kenge wa Pakistan utasikia"mdogo wangu we shoga au?"
Hapo kapiga vitu..kakaa Kule ndomba kwa mbele kidogo unavyoelekea q1
 
824kj.....haaa kule kanembwan ndutan nlikuwa danger coy...

Full kujila afande saleh(RIP) jamaa mzee wa silaha.ila kikubwa nakumbuka kufuata mbolea kule kwa msukuma na maji spring 3 nmepamc nduta hatareee sana

Wap maloda mzee wa PT...
 
Toto dogo sana wewe. Msange JKT opt Nidhamu 86/87
Full masinondoka foocrasesscockroach mende
[emoji23] Jambo Afande!, yeah nilikuwa ya Mujibu tu tulipiga depo ya miezi 3 tu na sio full 6 months. Hii ya mujibu hata haiifikii level ya kujitolea[emoji3]

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka siku nliyodoji mkesha nkaenda kulala porini vibwende kushtuka ni saa tatu. Asubuhi
 
Oljoro JKT op Miaka 50 ya Muungano....asee m namiss mabio tu na kutafuna mahindi makavu njaa ikikutandika ukiwa unavuna mahindi Embakasi/Shamba dunia...ila ukitoka kule swala la aibu ya kukaa uchi inaondoka....kunya vichakani dah asee
 
Back
Top Bottom