Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

838kj Operation Magufuli 2016..
Nlikerwa na vitu vingi sana mpaka nashindwa nianzie wap..
Ila kwa ufupi wale jamaa ni wauaji
maramba sio
VP uliwakuta kina private kazembe,manyama,simwogope,Mali ma,golani,ndelwa,sanga n.k
luteni Bernard,mtweve,humba
kapteni ndunguru,mritaba
co luteni kanali Emanuel muruga
 
Aisee mimi nlikua nakereka na jambo moja tuuu yaan

SIKU YA JUMAATANO NI UGALI NYAMA MCHANA SASA ULE MDA WA CHAKULA ULE MNAAMBIWA KURUTI UELEKEO KUZIMA MOTOO

Wale jamaaa sijui walikua wanawasha moto makusudi duuh[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]yan ikifika jtano mzee kinanuka unakuta pori linateketea mzee

824Kj hioo[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Daah kanembwa jkt iyoo, kuzima moto ndo kilikuw kitu kinanikera kuliko vyote jkt
 
Huyu anaongelea hii ya watoto.
JKT ilikua miaka ya 88 kurudi chini.
Enzi za afande Sanga, afande Mlay afande Mtono. Meja Jenerali Mkisi na tabia zake za ajabu.
Kwenye mbuzi alikua anakula Figo tuh. Sasa niambie Figo za mbuzi ngapi anaweza kushiba Jenerali?
JKT ya zile kambi nane.
Oljoro
Mgambo
Makutpora
Msange
Bulombora
Mafinga
Ruvu
Mlale.
Enzi zile kila kitu unakikuta kule kuanzia
Bukta
Green vest
Kombati
Buti
Mess tin Tena mbili
Blankerti
Yaani wewe unakwenda na mwili tu.
Hapo kwenye Green Vest unamanisha ile ya kijani au? Maafande wa Ruvu JKT miaka hiyo bwana eti:-
1. Jumapili na jumamosi wote niwaone ndani ya Green Vest ya Kijani.

2.Eti na wewe unajiita Msomi, watu tumeona walio maliza hadi form 4 utakuwa wewe wa form 6! "Kwenda chini haraka"
 
Yuko sajenti mmoja mnyalukolo kwa jina anaitwa Wella. Huyu bwana Kuna siku saa nne usiku baada ya disco alituambia tutoe magodoro nje halafu tupige deki hanga. Kumbuka maji yanatoka umbali wa km moja. Akaongeza tusiingize godoro mpaka aje kukagua. Saa nane usiku mwamba anakujakukagua na kuridhika na usafi. Kisha akasema tuingize magodoro tutandike vizuri mpaka mess tin ikae mahali pake Kisha atakuja kukagua. Mshenzi yule anakuja saa kumi na moja na kusema foleni pale nje achukue roll call. Baada ya roll call. Kumekucha Ni mchaka mchaka. That was 823 kj Msange jkt kwa mashemeji
 
Zaidi ya kulima hakuna jambo jingine la maana huko jkt,madogo wengi wanatoka huko bado hawajaiva,mananga wa kutupwa.
 
Jkt kuna Raha yake ya leo yakiisha umepass.Ukiwa mtoro unasubiriwa kwenye guduria la chakula.Wakikukosa hapo umewin.Unasubiriwa kwenda Kulala ulijongo roll call ukiwa mtunduruni nako umewin cku imeisha unasubiri kujipanga kwa matukio ya kesho.Jkt ilisaidia kuwa mwepesi kiakili na kupata jibu sahihi kwa ufaulu.Ukijilegeza utaumbuka
 
Aisee mimi nlikua nakereka na jambo moja tuuu yaan

SIKU YA JUMAATANO NI UGALI NYAMA MCHANA SASA ULE MDA WA CHAKULA ULE MNAAMBIWA KURUTI UELEKEO KUZIMA MOTOO

Wale jamaaa sijui walikua wanawasha moto makusudi duuh[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]yan ikifika jtano mzee kinanuka unakuta pori linateketea mzee

824Kj hioo[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Unamkumbuka af Magesa kama ulikuwa OP muungano tulikuwanae B coy, aaah huyu afande siwez msahau yaan alikuwa anapenda Doso kama chakula,
Nakumbuka kunacku kuruta mmoja alitoroka akiwa zamu yaan huyo kuruta siwez msahau anaitwa Rema aisee yaan tulimtafuta huku tunakula Doso mpaka muda wa mchakamchaka jamaa hajapatikana yaan ni noma, pia
Nakumbuka kunasiku walitupeleka vikwazo tukabeba viroba elf1000 na pushups zaid 1000 yaan huwez amin aisee . Ila nasikia jamaa ameisha kufa Mungu ailaze roho yake pema peponi
 
Ambacho kilikuwa kinaniudhi kwakwel ni vle nikiwa 824 KJ OP muungano tunasikia kuwa kunakambi za wenzetu huwa wanalala yaan wanapewa 5 wakati sisi hata kulala tushasahau na kama mkipewa 5 ni dakka 10 au 5 tu mshaamshwa
Na hii ilipelekea sisi tukapga 7 weeks na sio six weeks tena yaan ni noma aisee
 
Binafsi nilipita JKT miaka hiyo... 833 KJ OLJORO hiyoooooo. NILICHOGUNDUA NI KWAMBA JKT NI AINA FULANI YA CHEAP LABOUR ILIYOJIFICHA KWENYE MWAMVULI WA UZALENDO.
OVA.
Hakika kabisa.
 
Nilikuwa napenda kila kitu, yaan ile kuanzia mabio hadi doso la usiku, danger coy,, kuna siku afande katupigisha doso saa 1 had saa 5, anataka kutumwaga platoon number mbili section number tano tukaanza kuimba

"afande afande tunaomba doso afande" [emoji23][emoji23][emoji23]
Serengeti walitukana kinoma,, Serengeti anakutukana unabak unashangaa tuu,,

Af unamskia coplo,,,, babaa yanafarakana[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari za asubuhi,

Ni siku nyingine tena Mungu anatupa kibali Cha kuiona siku ya Leo

Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza hapo ju je ni kitu Gani kilikuwa kinakukela kipindi upe jeshini (mujibu wa sheria au uzalendo)

Kiujumla mimi nilikuwa nakeleka sana na mabio yani unakimbia kuelekea kuifuata chai 🤣🤣 ila kwa muda mwingine nilipendelea changer sana nikiwa jeshini

Wewe je?
disco
 
Haha Ruvu moja hiyo. Ngoja wale wazee wa kusema eti "Ruvu kambi ya bata tu" waje.

Hawajui hizo bata walikuwa wanakula wagonjwa wa kudumu tu. Wengine wote madoso kama kawa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yapo mengi mno siwezi kumaliza, sijawahi kufurahia tangu nilipoingia hadi natoka, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].
 
Mabio ya asubui mabio ya asubui mabio ya asubui......unalala saa 7 huko hoi hafu saa kumi li afande linakuja na maji linamwaga tu ovyo ovyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noma sanaa
 
Back
Top Bottom