Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 5,314
- 9,215
Itakuwa hii ya vodafasta ya watoto wa 97Unazungumzia JKT ya wakongwe au hii ya vodafasta?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa hii ya vodafasta ya watoto wa 97Unazungumzia JKT ya wakongwe au hii ya vodafasta?
maramba sio838kj Operation Magufuli 2016..
Nlikerwa na vitu vingi sana mpaka nashindwa nianzie wap..
Ila kwa ufupi wale jamaa ni wauaji
Daah kanembwa jkt iyoo, kuzima moto ndo kilikuw kitu kinanikera kuliko vyote jktAisee mimi nlikua nakereka na jambo moja tuuu yaan
SIKU YA JUMAATANO NI UGALI NYAMA MCHANA SASA ULE MDA WA CHAKULA ULE MNAAMBIWA KURUTI UELEKEO KUZIMA MOTOO
Wale jamaaa sijui walikua wanawasha moto makusudi duuh[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]yan ikifika jtano mzee kinanuka unakuta pori linateketea mzee
824Kj hioo[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] 835KJMabio jamaniii mamaee kuna ilee route za jioni mmetoka kula zilikuwa zinakera sana...!! Toka kambini pitia Rest house mpaka kwa Msange na kurudi...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ufala sana uleee...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] 835KJ
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Tumekula sana chai na chungwa aiseeUfala sana uleee...
Chungwa hazijawahi kuivaa zilee aisee kule kisimani nidojia sanaa..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hapo kwenye Green Vest unamanisha ile ya kijani au? Maafande wa Ruvu JKT miaka hiyo bwana eti:-Huyu anaongelea hii ya watoto.
JKT ilikua miaka ya 88 kurudi chini.
Enzi za afande Sanga, afande Mlay afande Mtono. Meja Jenerali Mkisi na tabia zake za ajabu.
Kwenye mbuzi alikua anakula Figo tuh. Sasa niambie Figo za mbuzi ngapi anaweza kushiba Jenerali?
JKT ya zile kambi nane.
Oljoro
Mgambo
Makutpora
Msange
Bulombora
Mafinga
Ruvu
Mlale.
Enzi zile kila kitu unakikuta kule kuanzia
Bukta
Green vest
Kombati
Buti
Mess tin Tena mbili
Blankerti
Yaani wewe unakwenda na mwili tu.
Unamkumbuka af Magesa kama ulikuwa OP muungano tulikuwanae B coy, aaah huyu afande siwez msahau yaan alikuwa anapenda Doso kama chakula,Aisee mimi nlikua nakereka na jambo moja tuuu yaan
SIKU YA JUMAATANO NI UGALI NYAMA MCHANA SASA ULE MDA WA CHAKULA ULE MNAAMBIWA KURUTI UELEKEO KUZIMA MOTOO
Wale jamaaa sijui walikua wanawasha moto makusudi duuh[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]yan ikifika jtano mzee kinanuka unakuta pori linateketea mzee
824Kj hioo[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Hakika kabisa.Binafsi nilipita JKT miaka hiyo... 833 KJ OLJORO hiyoooooo. NILICHOGUNDUA NI KWAMBA JKT NI AINA FULANI YA CHEAP LABOUR ILIYOJIFICHA KWENYE MWAMVULI WA UZALENDO.
OVA.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuwa napenda kila kitu, yaan ile kuanzia mabio hadi doso la usiku, danger coy,, kuna siku afande katupigisha doso saa 1 had saa 5, anataka kutumwaga platoon number mbili section number tano tukaanza kuimba
"afande afande tunaomba doso afande" [emoji23][emoji23][emoji23]
Serengeti walitukana kinoma,, Serengeti anakutukana unabak unashangaa tuu,,
Af unamskia coplo,,,, babaa yanafarakana[emoji23][emoji23][emoji23]
discoHabari za asubuhi,
Ni siku nyingine tena Mungu anatupa kibali Cha kuiona siku ya Leo
Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza hapo ju je ni kitu Gani kilikuwa kinakukela kipindi upe jeshini (mujibu wa sheria au uzalendo)
Kiujumla mimi nilikuwa nakeleka sana na mabio yani unakimbia kuelekea kuifuata chai 🤣🤣 ila kwa muda mwingine nilipendelea changer sana nikiwa jeshini
Wewe je?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haha Ruvu moja hiyo. Ngoja wale wazee wa kusema eti "Ruvu kambi ya bata tu" waje.
Hawajui hizo bata walikuwa wanakula wagonjwa wa kudumu tu. Wengine wote madoso kama kawa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noma sanaaMabio ya asubui mabio ya asubui mabio ya asubui......unalala saa 7 huko hoi hafu saa kumi li afande linakuja na maji linamwaga tu ovyo ovyo