Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

Huyu anaongelea hii ya watoto.
JKT ilikua miaka ya 88 kurudi chini.
Enzi za afande Sanga, afande Mlay afande Mtono. Meja Jenerali Mkisi na tabia zake za ajabu.
Kwenye mbuzi alikua anakula Figo tuh. Sasa niambie Figo za mbuzi ngapi anaweza kushiba Jenerali?
JKT ya zile kambi nane.
Oljoro
Mgambo
Makutpora
Msange
Bulombora
Mafinga
Ruvu
Mlale.
Enzi zile kila kitu unakikuta kule kuanzia
Bukta
Green vest
Kombati
Buti
Mess tin Tena mbili
Blankerti
Yaani wewe unakwenda na mwili tu.
Afande Mlay alikuwa noma sana.Naakumbukaa alikuja Makutupora kila mtu alikuwa natetemeka kuanzia maaskari wote wa chini.Mtu mwenye mwili mdogo ila mambo yake ni balaa
 
Mabio jamaniii mamaee kuna ilee route za jioni mmetoka kula zilikuwa zinakera sana...!! Toka kambini pitia Rest house mpaka kwa Msange na kurudi...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
We mtaalam umeenda mgambo hahaha hapo afande mayai anasubr combania
 
Yapo mengi mno siwezi kumaliza, sijawahi kufurahia tangu nilipoingia hadi natoka, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].
Uliingia bila kupimwa marinda au ulikua bado unayo mkuu?
 
Nilikuwa nakereka na wale service men and girls waliokuwa wakuda na wanoko, then kulazimishana kwenda kula na kuoga [emoji34][emoji34]
 
We mtaalam umeenda mgambo hahaha hapo afande mayai anasubr combania
Mayai wa A coi mkuu..[emoji3][emoji3][emoji3] yani aisee na pale B coi karibu na uwanja wa kuanzia mabio uko karibu.. Ilikuwa nikila naenda kisimani kulee
 
Mayai wa A coi mkuu..[emoji3][emoji3][emoji3] yani aisee na pale B coi karibu na uwanja wa kuanzia mabio uko karibu.. Ilikuwa nikila naenda kisimani kulee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]me nlikua napotelea d coy michungwan kule mzee wanarudi jamaa kutoka bwawani ndo natokea
 
Habari za asubuhi,

Ni siku nyingine tena Mungu anatupa kibali Cha kuiona siku ya Leo

Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza hapo ju je ni kitu Gani kilikuwa kinakukela kipindi upe jeshini (mujibu wa sheria au uzalendo)

Kiujumla mimi nilikuwa nakeleka sana na mabio yani unakimbia kuelekea kuifuata chai [emoji1787][emoji1787] ila kwa muda mwingine nilipendelea changer sana nikiwa jeshini

Wewe je?
Tusubri majibu toka kwa wajkt sisi wakimbia pori hatuna majibu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]me nlikua napotelea d coy michungwan kule mzee wanarudi jamaa kutoka bwawani ndo natokea
Nilikuja kujua hii ishu mwishoni yani tunakaribia na passout.. Tulivyorudi toka pass out aisee niliwadojii wale jamaa mpaka nikalipenda jeshi nilitamani mpaka kurudi...
 
Nilikuja kujua hii ishu mwishoni yani tunakaribia na passout.. Tulivyorudi toka pass out aisee niliwadojii wale jamaa mpaka nikalipenda jeshi nilitamani mpaka kurudi...
Baada ya passout braza nlijisajili ngoma koi na siend had namaliza mujibu asee nlianza had kunenepa mwendo qa bwalon kulala kwenye kona kabisaa [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ambacho kilikuwa kinaniudhi kwakwel ni vle nikiwa 824 KJ OP muungano tunasikia kuwa kunakambi za wenzetu huwa wanalala yaan wanapewa 5 wakati sisi hata kulala tushasahau na kama mkipewa 5 ni dakka 10 au 5 tu mshaamshwa
Na hii ilipelekea sisi tukapga 7 weeks na sio six weeks tena yaan ni noma aisee
Ulikatwa bogi wapi, baada ya hapo namtafuta Karama emanueli msangi dogo wa kawe alikua mtu flani wa mazigaombwe ila uchawi wa maza ake wa kambo ukamnyima kuvaa kitenge aliugua sana huyu mwamba pale 825
 
Afande Mlay alikuwa noma sana.Naakumbukaa alikuja Makutupora kila mtu alikuwa natetemeka kuanzia maaskari wote wa chini.Mtu mwenye mwili mdogo ila mambo yake ni balaa
Kuna siku Mkisi mkuu wa jkt alikuja Msange na wakuu wote wa kambi za jkt Mlay akiwepo. Sasa wakati Mkisi anatoa hotuba yake akamwamuri Askari mmoja kwa kusema. Kamanda wape wakuu wa vikosi soda. Mlay bila kusimama Wala Nini akasema. Mkuu Mimi sinywi soda. Basi Mkisi kwa heshima na taadhima akasema. Kamanda, mpe kamanda Mlay beer.
Na kweli fasta beer briidi ilitafutwa iliko Hadi Col. Mlay akapewa.
Ikumbukwe kipindi kile wakuu wote wa jkt walikua ma major au luteni kanali isipokua Mlay tu aliyekua full colonel. Halafu wakamtupa kambi ya mkoa wakati ma lt col wanaongoza CTS.
 
Baada ya passout braza nlijisajili ngoma koi na siend had namaliza mujibu asee nlianza had kunenepa mwendo qa bwalon kulala kwenye kona kabisaa [emoji28][emoji28][emoji28]
Wee jamaa itakuwa Tunajuana kwa suraa yani wasio na vitengo walikuwa wanaenda shambani ila me dadekii ni kula kulaaa..
 
Yuko mtu mmoja cpl Chalangwe pale Msange. Wakati wa chakula ukifika utamsikia
Watu Hawa,
Kwa mwendo wa kulekua
Macho mbele
Mikono mbele nanyuma
Kifua mbele
Usawa wa gudulia
Tembea.....
 
Hahaa huyo mzee alikuaga muongo muongo mtu wa story sana [emoji3]

Anasimamia bustani na shamba la miti.

Alikuaga sergeant hivi?
Maafande wa JKT walikua wajinga sana. Eti na bustani kunafagiliwa, Kama sio ku misuse manpower niniji
 
Naona mnaongea vitu simple tu kuna hii ya kuamshwa na moshi wa sigara 839KJmakuyuni kujitolea hyo apo private godfrey anapita dirishani uku anavuta fegi then anafunga mlango m1 alaf anaingilia mlango wa pili na bakora mbn mtasema tu na apo upige mswaki utandike kitanda usafishe anga then uwah kombania .....

ilinifanya nisitamani kubaki kujitolea ukizingatia maji shida kilichotusaidia ni wanyama wakali wanalala karibu na kambi ikawa inasaidia kumka mapema saa10 asbh na kulala mapema saa7/6 uck uko ndo nikaona kumbe tembo sio wa kucheza nae HAFAI NA NYATI WEEEEEEE SIMBA MCHUMBA TU APO...
 
Habari za asubuhi,

Ni siku nyingine tena Mungu anatupa kibali Cha kuiona siku ya Leo

Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza hapo ju je ni kitu Gani kilikuwa kinakukela kipindi upe jeshini (mujibu wa sheria au uzalendo)

Kiujumla mimi nilikuwa nakeleka sana na mabio yani unakimbia kuelekea kuifuata chai [emoji1787][emoji1787] ila kwa muda mwingine nilipendelea changer sana nikiwa jeshini

Wewe je?
We jamaa Nanga,badala ya kupenda vita we unapenda chenja!?? Ulikua Coy gani na kikosi kipi....!???
 
Back
Top Bottom