NYENJENKURU
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 1,066
- 294
Afande Mlay alikuwa noma sana.Naakumbukaa alikuja Makutupora kila mtu alikuwa natetemeka kuanzia maaskari wote wa chini.Mtu mwenye mwili mdogo ila mambo yake ni balaaHuyu anaongelea hii ya watoto.
JKT ilikua miaka ya 88 kurudi chini.
Enzi za afande Sanga, afande Mlay afande Mtono. Meja Jenerali Mkisi na tabia zake za ajabu.
Kwenye mbuzi alikua anakula Figo tuh. Sasa niambie Figo za mbuzi ngapi anaweza kushiba Jenerali?
JKT ya zile kambi nane.
Oljoro
Mgambo
Makutpora
Msange
Bulombora
Mafinga
Ruvu
Mlale.
Enzi zile kila kitu unakikuta kule kuanzia
Bukta
Green vest
Kombati
Buti
Mess tin Tena mbili
Blankerti
Yaani wewe unakwenda na mwili tu.