Je, unamfahamu mnyama anayeitwa Nyegere/Honey Badger? Mnyama mwenye wivu kupindukia

Ila wewe ni jasiri,,,safi sanaaaa
 
Safi sana ila ile style yake ya kubong'oa kule kwenye haja kubwa kama mtego wa kumnasa kuku na kuku akidonoa tu hubanwa kwa misuli mikali sana huwa inanifanya nimuone huyu kiumbe kama ana vile vitabia vya mombasa
 
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] hii mpya tena!
Loooh..
Kwahiyo ni kweupe hadi kuku adonoe?
 
Kuna documentary yake inaitwa SNAKE KILLER;THE HONEY BADGER OF KALAHARI..imerekodiwa na National Geographical.Ukimaliza kuiona utamheshimu milele
I believe hii documentary nimeiona mkuu.. kama huyu Nyegere ndio anaitwa HONEY BADGER basi nishaona baadhi ya characteristics zake. Sema hiyo ya wivu kwa jike lake ndio imeniacha mdomo wazi..
 
kuweka avatar ya tupac sio shida, ila kuweka avatar ileile exactly kama aliyoweka mwenzako, unakuwa umekosa nyingine?
na avatar zina maana ndio maana jf wakaweka sehemu ya avatar na id, la sivyo wasingeweka
...acheni ligi za kipimbi!....imeruhusiwa avatar kufanana,sio id...yani mtu akitaka kuweka avatar afuatilie members wote kujua kama hakuna anaeitumia?
Nonsense!
 
Dah hii Kali sasa!!
 
Huyu sio mnyama anaitwa kicheche kweli? au ndio nyegere jina lingine?
Mkuu kwa uelewa wangu na niwajuavyo vicheche ni wadogo tofauti na hawa Nyegere.
Na wale huwashambulia kuku shingoni na kuwanyonya damu,hawa ndio kama hivyo wanabong'oa.
Ila kuna some characters wanafanana,kama hiyo kutokufa haraka.....
Vicheche wana roho ngumu sana.
Nakumbuka nilipokuwa mdogo kijijini kwa bibi niliona wakipigwa sana,ila walichukua muda mrefu sana kufa.
 
...acheni ligi za kipimbi!....imeruhusiwa avatar kufanana,sio id...yani mtu akitaka kuweka avatar afuatilie members wote kujua kama hakuna anaeitumia?
Nonsense!
kuweka avatar kama ya mwenzako out of millions of avatars ndio upimbi haswa
 
Halafu vicheche vinakuwa kundi na huwa vinasimamia miguu ya nyuma na vinainua miguu ya mbele navyo vinamikwara hatar ukiwa mwogamwoga kama mwanaume wa dsm vinakuchenjia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…