kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,323
- 12,594
mamaaaaa. sijui itakuwaje siku nikikutana naye. je sasa kama nimekula asali yake?
Na yeye Anakula ya kwako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mamaaaaa. sijui itakuwaje siku nikikutana naye. je sasa kama nimekula asali yake?
Mkuu hii ilishaletwa humu kitamboo....Mleta mada yupo hapa
Ha ha ha ha nimecheka sana hii habarinaskia shuzi lake ukipeleka kwa mganga unapata utajiri papo hapo
asante sana mkuu nilikuwa sifahamu kuhusu hilo.hakika ni hatari na adimu kuonekanaTusisaahu kwamba nyegere ndio mnyama anaeshikilia rekodi ya dunia ya Guinness kuwa mnyama asieogopa chochote chini ya jua. The most fearless animal on earth.
Ngozi yake ni humu kiasi kwamba risasi haiwezi kupenya.
Nyoka mwenye Simu Kali zaidi black mamba anatakiwa amng'ate Mara 10 huyu njema ili azimie sekunde kadhaa na akiamka anakuwa na nguvu na hasira kubwa.
Mkuu risasi haiwezi kupenya? hapana si kweli, risasi ni mziki mwingine aisee.Tusisaahu kwamba nyegere ndio mnyama anaeshikilia rekodi ya dunia ya Guinness kuwa mnyama asieogopa chochote chini ya jua. The most fearless animal on earth.
Ngozi yake ni humu kiasi kwamba risasi haiwezi kupenya.
Nyoka mwenye Simu Kali zaidi black mamba anatakiwa amng'ate zaidi ya mara 10 huyu nyegere ili azimie sekunde kadhaa na akiamka anakuwa na nguvu na hasira kubwa.
Nani ni nyegere katika maantiki ya fumbo lako mkuu?
Tulipaswa kujiuliza kwanini haipenyi kwenye ngozi ya nyegere? Sababu ni nini ulaini wake au?Mkuu risasi haiwezi kupenya? hapana si kweli, risasi ni mziki mwingine aisee.
Tabia ya risasi ni kupenya popote penye ugumu na haiwezi kupenya Sehemu laini, ndo maana haiwezi kupenya gunia la mchanga kwa sababu ni laini,lakini kwenye mwamba mgumu risasi hupenya.
Dah hii hatari sasa,si bora hata angekuwa anauma miguu..Kuna mchaga mmoja aliniambia kwao wanamwita "Kilorani" Akikuona porini mwanaume ana kimbilia kula pumbu zako