Je, unamkumbuka huyu. Mtu pekee aliyejaribu kubishana na Jiwe

Kwa upepo wa siasa kipindi kile,ulihitajibmtu asiye na kashfa ya ufisadi,kabila kubwa na mkatoliki, uchaguzi ulikua ngumu..so vetting ipo
 
Wakawa wametapeliwa
 
Ndugu Askari: Hata hivyo nashukuru umeniinua, nimeinuliwa......👮‍♂️👮‍♂️

Jiwe: Kwahiyo mi nimekuja hapa ili uinuliwe...hivi unajua ninaweza kuzing'oa hizo nyota.... 😡😡

😂😂😂 Ubaya wa jiwe anatumaga manjangu mapema, kwahiyo anakua na info 90% anachokuuliza anakijua anangoja udanganye
 
Kuna mshua Alikuwa mkurugenzi alitwa mbele ya jiwe kujielezea utambulisho mbadala ya kusema Mimi mkurugenzi akasema Mimi mkuruzenzii full hofu, Chuma akasema Aya nenda kakae mkuruzenzii
Watu walifanya kazi kwa hofu lakini kwa maadili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…