grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Another oneHapo kwa Kenya umezingua Sana mkuu,unawezaje kutuvunjia heshima namna hii.
Hii habari yako Haina mashiko hata kdgo mkuu,Kama Kuna nchi Duniani yenye wanaume wababe Basi Ni nchi yangu Kenya.Huku sisi huwa hatuendekezi ujinga wa wanawake.
Please withdraw Kenya from your thread.
Daah hv huwa inaanzaje anzaje mpak mwanaume uwe unapigwa?Another one
One of the few footage 🤣 🤣🤣
Mkuu binafsi nakumbuka nimeshawahi kusikia kupitia matangazo ya idhaa ya Kiswahili ya BBC kuhusu wanaume kupigwa na wake zao...je unalielezeaje hili?Kwa hiyo mnatumia sample size ya mwanamke mmoja kujumlisha kwamba wanaume wa Kenya wanapigwa na wake zao? Huo uliomweka hapo Ni mwanamke mmoja tu Kati ya mamilioni ya wanawake waliopo Kenya.And that single scenario can't give you the muscles and courage to come tell people that Kenyan men are being embarrassed by their spouses.
Kama unaongelea wanaume Marioo ambao wanalelewa na wake zao hapo nakuunga mkono mkuu,maana wasipotii Sheria za wake zao lazima wachapwe tu I'll akili ziwakae sawa.Ika mwanaume mpambanaji Tena anayejielewa kamwe hawezi kubuli kofekewa na mke wake achia mbali kupigwa.
Wanaume wa nchi gani haswa?Mkuu binafsi nakumbuka nimeshawahi kusikia kupitia matangazo ya idhaa ya Kiswahili ya BBC kuhusu wanaume kupigwa na wake zao...je unalielezeaje hili?
Wengi kabisa, tatizo mnajificha.Championship Mnyakyusa gani anayepigwa na mkewe?
KenyaWanaume wa nchi gani haswa?
Ukizidi kukataa utaonekana ni mjinga...chombo cha habar kilifanya utafiti na kuwahoji walengwa hlf wewe unabisha? Kubali ukweli wala haita shusha heshima yako.Hakuna mwanaume wa Kenya anayeweza kupigwa na mkewe.Hizo taarifa mlizopewa Ni za uongo tu.
Huko kenya unaishi kijiji gani isije uko kihagalile ndani ndani huko ukajiita na we mkenya wakati hatukutambuiHakuna mwanaume wa Kenya anayeweza kupigwa na mkewe.Hizo taarifa mlizopewa Ni za uongo tu.
Nimekumbuka press ya kibaki na mkeweHapo kwa Kenya umezingua sana mkuu, unawezaje kutuvunjia heshima namna hii.
Hii habari yako Haina mashiko hata kdgo mkuu, kama Kuna nchi Duniani yenye wanaume wababe basi ni nchi yangu Kenya. Huku sisi huwa hatuendekezi ujinga wa wanawake.
Please withdraw Kenya from your thread.
Achana nao bhana,naona unaumiza kichwa bureHakuna mwanaume wa Kenya anayeweza kupigwa na mkewe.Hizo taarifa mlizopewa Ni za uongo tu.
❤️...unamtetea eeh?Achana nao bhana,naona unaumiza kichwa bure
🤣Namtengenezea ucalm down ❤️...maana kubishana na watu humu uwe umeshiba aisee❤️...unamtetea eeh?
Sawa bhana nimekusoma!🤣Namtengenezea ucalm down ❤️...maana kubishana na watu humu uwe umeshiba aisee
Wanapigwa km mtoto yaan daaahOne of the few footage 🤣 🤣🤣