Kwa hiyo mnatumia sample size ya mwanamke mmoja kujumlisha kwamba wanaume wa Kenya wanapigwa na wake zao? Huo uliomweka hapo Ni mwanamke mmoja tu Kati ya mamilioni ya wanawake waliopo Kenya.And that single scenario can't give you the muscles and courage to come tell people that Kenyan men are being embarrassed by their spouses.
Kama unaongelea wanaume Marioo ambao wanalelewa na wake zao hapo nakuunga mkono mkuu,maana wasipotii Sheria za wake zao lazima wachapwe tu I'll akili ziwakae sawa.Ika mwanaume mpambanaji Tena anayejielewa kamwe hawezi kubuli kofekewa na mke wake achia mbali kupigwa.