Je, unataka kuolewa na mume Mwafrika asiye Mtanzania? Wajue wanaume wa Kiafrika na sifa zao

Je, unataka kuolewa na mume Mwafrika asiye Mtanzania? Wajue wanaume wa Kiafrika na sifa zao

Hapo kwa Kenya umezingua Sana mkuu,unawezaje kutuvunjia heshima namna hii.
Hii habari yako Haina mashiko hata kdgo mkuu,Kama Kuna nchi Duniani yenye wanaume wababe Basi Ni nchi yangu Kenya.Huku sisi huwa hatuendekezi ujinga wa wanawake.

Please withdraw Kenya from your thread.
Another one
 
Attachments

  • Kenyan woman wanted for beating man to a pulp over 2 [Video] - Face2Face Africa.mp4
    1.9 MB
Kwa hiyo mnatumia sample size ya mwanamke mmoja kujumlisha kwamba wanaume wa Kenya wanapigwa na wake zao? Huo uliomweka hapo Ni mwanamke mmoja tu Kati ya mamilioni ya wanawake waliopo Kenya.And that single scenario can't give you the muscles and courage to come tell people that Kenyan men are being embarrassed by their spouses.

Kama unaongelea wanaume Marioo ambao wanalelewa na wake zao hapo nakuunga mkono mkuu,maana wasipotii Sheria za wake zao lazima wachapwe tu I'll akili ziwakae sawa.Ika mwanaume mpambanaji Tena anayejielewa kamwe hawezi kubuli kofekewa na mke wake achia mbali kupigwa.
One of the few footage 🤣 🤣🤣
 
Mkuu binafsi nakumbuka nimeshawahi kusikia kupitia matangazo ya idhaa ya Kiswahili ya BBC kuhusu wanaume kupigwa na wake zao...je unalielezeaje hili?
 
Hakuna mwanaume wa Kenya anayeweza kupigwa na mkewe.Hizo taarifa mlizopewa Ni za uongo tu.
 
Hakuna mwanaume wa Kenya anayeweza kupigwa na mkewe.Hizo taarifa mlizopewa Ni za uongo tu.
Ukizidi kukataa utaonekana ni mjinga...chombo cha habar kilifanya utafiti na kuwahoji walengwa hlf wewe unabisha? Kubali ukweli wala haita shusha heshima yako.
 
Bila shaka watz tutakuwa kwenye kundi la Wanaume wavivu Africa.
 
Hapo kwa Kenya umezingua sana mkuu, unawezaje kutuvunjia heshima namna hii.

Hii habari yako Haina mashiko hata kdgo mkuu, kama Kuna nchi Duniani yenye wanaume wababe basi ni nchi yangu Kenya. Huku sisi huwa hatuendekezi ujinga wa wanawake.

Please withdraw Kenya from your thread.
Nimekumbuka press ya kibaki na mkewe
 
Back
Top Bottom