Fasta tu mazaga yanakuwa tayari, then natoa kitu siku inaisha.Tupo sawa me nikiwa maskani ..huwa napenda kujipikia mwenyewe Kama wife hayupo ....Wala binti wa kazi ..me na Jembe langu hao jikoni ..kibao Cha chapati Kiko wapi Ni mwendo wa kukata Tuu.
Anyway mtoa mada kanikumbusha wacha ninunue leo.
Pole sana. Ila nakushauri, osha vizuri chopping board yako au nunua mpya ile nyeupe ya mfupa nadhani set yake haifiki 30k. Inakuwa na boards za size mbalimbali.Nimeshindwa Mkuuu....Naona itabaki tu
Acha kabisaaKweli leo umevurugwa
SawaMkuuu..hata Mimi sijala baana...I wanted to post Jana usiku...but I was too tired.
Nshasema SINA HELA..... Wala Sina MPANGO wakununua mpya...Kama hi Inafanya kazi mpya ya NiniPole sana. Ila nakushauri, osha vizuri chopping board yako au nunua mpya ile nyeupe ya mfupa nadhani set yake haifiki 30k. Inakuwa na boards za size mbalimbali.
Nilitaka kumwambia atoe picha kabla smart people wa JF hawajaamka wakazoom mpaka ile sufuria kule pembeni uelekeo wa pilipili nikaona soo.[emoji3][emoji3] poleee, this is jf
Bora ungeniambia hata PM[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]...maana nimekoma...hapo Ni jikoni...sufuria na hicho kinu nlichokua natwangia kitunguu swaumu Ni mahali pake...Nilitaka kumwambia atoe picha kabla smart people wa JF hawajaamka wakazoom mpaka ile sufuria kule pembeni uelekeo wa pilipili nikaona soo.
mbona jina linatokea la kiume ?e hela 0659546533 ya chopping board
Huo ni msemo tu kama nyota njema huonekana asubuhi...kwahiyo chakula kikiwa cha mtu m1 unapika bokoboko?Mkuu...hujui nlikua napika Nini?... Unaanza kuongelea wali wakushiba wewe... Nani kakwambia hicho chakula Ni chafamilia?
Hahahahaa WAHA SUNUY.mbona jina linatokea la kiume ?
[emoji3][emoji3]Nilitaka kumwambia atoe picha kabla smart people wa JF hawajaamka wakazoom mpaka ile sufuria kule pembeni uelekeo wa pilipili nikaona soo.
Hii chopping Board imekuwa kama yale magogo ya buchani haifai tenaHabari menu,
Mimi nimezoea Sana Kutumia chopping board jikoni kiasi kwamba nikitumia mikono najikata Sana na kisu vidole.
Lazima nitumie chopping board kukata nyama, mboga zamajiani...vitunguu yaani almost kila kitu.
Chopping board yangu ni kuuu kuu Sana na more than ten years
Anyone else uses a chopping board like me, just wondering
Tecno yangu haitoi quality picha
Jamani ntajichanga kununua..mpya....maoni yenu nimeyazingatia....Hi
Hii chopping Board imekuwa kama yale magogo ya buchani haifai tena
Niliogopa, ujue we kabla huja'change ID kuna muda ulikuwa una majibu yako unayajua mwenyewe. Sikutaka iwe ligi maana sikujua ni kwa namna gani ungepokea ndio maana nikamute...Bora ungeniambia hata PM[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]...maana nimekoma...hapo Ni jikoni...sufuria na hicho kinu nlichokua natwangia kitunguu swaumu Ni mahali pake...
Sio kwamba sufuria lipo juu ya Kochi au kinu kipo juu ta fridge.....
Sikua nafanya photoshoot yakutafuta wateja au...kuuza chopping board...
Anyway....siku ntajitahidi kuweka picha quality....Kama nitarudia...nimekoma