[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umenifrahisha,yaan utamu wa kiporo chake unaweza toboa sufuria atiKwakweli kile chakula hakichoshi...
Sasa balaaa, nilipoamka ASUBUH kula kipolo chake cha wali Nazi
Mamaaaaaaaaaaa hahahahahha nilikula ni bila mboga nikakomba na ukoko
Asante ndugu nipo najifunza hapaKaribu ujifunze ndugu. Huku kwetu nazi bei chee kabisa.
Itabidi nije nijaribu kuipikia hiyo mana sijawahi japo huwa naziona huku kwa Mangi.Na vile azam wameturahsishia mambo bas hata ukiona uvivu wa kukuna unakimbia kwa mangi fasta kuchkua pakti yako ikamilishe mapishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh!! Uje ujaribugi tena Mkuu.
Okay,ni must nipike tena cz chakula kilichoungwa kwa nazi hakiishi hamu kamwe😋
Hahaha we acha Mkuu, chezea vipolo vyotee lkn sio kipolo cha wali Nazi...unaweza nunulia watoto ngano ,ili kipolo kibaki kua chako ..nabado watoto wakataka kipolo ikoiko mtoke pasu !!!!...[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umenifrahisha,yaan utamu wa kiporo chake unaweza toboa sufuria ati
Sent using Jamii Forums mobile app
Itabidi nije nijaribu kuipikia hiyo mana sijawahi kupikia japo huwa naziona huku kwa Mangi.
Hivi inakuwa nzito kabisaa au ndio ya kawaida tu na harufu je?
Tena hata kiporo chake kinakua kitamu sanaDooooh! haragwe la nazi na partner wake ubweche nazi😋😋😋😋 narudi tanga aisee...
UZI MZURI HUU
Raha ya chakula upikiwe,hata mm nikipika chakula wakati wa kula hua sienjoy vzur kama kile amepika mwingine then mm niwe mlaji ila ukitoka kupika af ukaanza kula kwel hata huenjoy vzurHahaha we acha Mkuu, chezea vipolo vyotee lkn sio kipolo cha wali Nazi...unaweza nunulia watoto ngano ,ili kipolo kibaki kua chako ..nabado watoto wakataka kipolo ikoiko mtoke pasu !!!!...
Sema siku hizi nikipika , napika lkn sienjoy kivile ,sijui kwann ??....
Hamna namnaRaha ya chakula upikiwe,hata mm nikipika chakula wakati wa kula hua sienjoy vzur kama kile amepika mwingine then mm niwe mlaji ila ukitoka kupika af ukaanza kula kwel hata huenjoy vzur
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaa hapo ndo umenena,oa mkuu uwe unapikiwa kila siku mahanjumati ya nazi.Yaan wee acha mkuuu... na tuoe tuHamna namna
Siunaona Enock Bwigane wa TBC alikua chembamba..lkn baada ya KUOA ,... Kawa kama kifutu ...Hahahahaa hapo ndo umenena,oa mkuu uwe unapikiwa kila siku mahanjumati ya nazi.
No wonder mkioa hua mnanenepa,uhakika wa misosi mizuri upo kila siku[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha kumbe unapenda wali njegere.... Jikaribishe kwangu, nikupikie nawewe kesho yake unipikie ..Sitasahau hyo siku nmerud likizo toka boarding nkakuta wamepika wali na njegere za nazi na nlikua napenda sana njegere
Hapo nlikua nmemiss msosi wa home bas nlikulaaa had nkavimbiwa[emoji23][emoji23] mateso yake sitayasahau
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaa na kwel binadamu lazima waseme mkeo hakujali kumbe ni mwili wake tu hauna shukraniKwakweli ukioa na usinenepe basi wee una bila zako zakutaka kuonyesha kama mtoto wa watu hakujaliSiunaona Enock Bwigane wa TBC alikua chembamba..lkn baada ya KUOA ,... Kawa kama kifutu ...
Lazma ninenepe tu