Je, unaungaje chakula chako kwa kutumia nazi?

Et nijikaribishe[emoji23][emoji23] napenda sana njegere.... nisipoipika njegere kama mboga bas ntaiweka kwenye wali,pilau, nyama yaan popote pale itakapofit mradi roho yangu isuuzike


Sent using Jamii Forums mobile app
Ewaaa!! Mi niliwahi kwenda kwa dada yangu naye alipika wali wa nazi akawekamo na njegere mule niliupenda kwani zilizidisha ladha fulani hivi.
 
Hahahaaa. Pole.
 
Yeaahh ,huwa tunajifanya tu ,lkn UKWELI nyumba ni mwanamke...na Mwanaume ni Mwanamke.

Imagine Chakula kinakupikia chakula chenzake hahahahahha ....unaanzaje kukonda ???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo hapo sasa,ushindwe ww tu kuchagua uanze kula chakula gan!! Hapo usipo nenepa bas kutakua na mkono wa mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooh. Angalau We unajipa nafasi.
 
Hahahahahha ukiwa na bajeti nabahiri hunenepi ....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo hapo sasa,ushindwe ww tu kuchagua uanze kula chakula gan!! Hapo usipo nenepa bas kutakua na mkono wa mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa hauna ivo, hahahaha ni mwendo wa Kula chakula jikon kikiwa kinapika chakula chenzake.

Baadae ule chakula mezani, umalizie chakula Room
 
Ooh simple....kwa wali unachemsha njegere pembeni bt zisiive sana then ukiwa unapika wali baada ya maji kuchemka weka mchele + chumvi + mafuta then funika pika kwa moto mdogo maji yakikaribia kukauka weka njegere then geuza n funika had viive.... Moto mdogo unasaidia wali unaiva vzuri n hauunguzi
Namna ya kuvichanganya changanya Mkuu... Wali nyegere....Nyama nyegere... Nakitu ya Nazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…