Je, unaungaje chakula chako kwa kutumia nazi?

Hahaha nmescreenshoot ..sema jiko la gesi ,halijawah niacha salama kwenye kupika wali
 
Kumbe njegere zinachemshwaga kwanza? 😳 hapa kama ni mtihani ningefeli.

Mi nilijua zinawekwa ile baada ya kuweka mchele. 🙈🙈
 
MTU mmoja akasema kumshika mwanaume shika tumbo lake na mapenziKiukweli hata Mimi jaman, napenda KULA MISOSI MITAMU TAMU NA MAPENZI ...

Hivi viwili vinafanya nijihisi nipo Dunian mwanaume mmoja tu
Hahahahaaa. Umejua kunichekesha. Hahahaaa.

Ndio uoage sasa ili ujione uko peke yako kama usemavyo Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…