Me nmezoea sjui nmekariri kuchemsha kwanza,sijawah kupika zenyew bila kuchemsha...ila nadhani ukiweka pamoja na wali zinaiva vzuriKumbe njegere zinachemshwaga kwanza? [emoji15] hapa kama ni mtihani ningefeli.
Mi nilijua zinawekwa ile baada ya kuweka mchele. [emoji85][emoji85]
Hatare sanaHahahaa bas fanya mpango umuweke ndani,ili uyafrahie hayo kila siku kila saa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli jamaan mwaka 2020 na iwe ivo maanaa namimi sasa nataka haya matamu matamu yakupikiwaaaa chakula kwa chakula ..unalala NA chakula. Unaamka na chakulaHahahahaaa. Umejua kunichekesha. Hahahaaa.
Ndio uoage sasa ili ujione uko peke yako kama usemavyo Mkuu.
Tatizo sijawahi kupika chakula nikaweka hizo njegere ujue mi huwa napika kawaida tu.Me nmezoea sjui nmekariri kuchemsha kwanza,sijawah kupika zenyew bila kuchemsha...ila nadhani ukiweka pamoja na wali zinaiva vzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahha usijali Lenie , ninayataka kweli kweli.......
Hamna Mkuu,hata ndege inakata kona anganiBado siku 4 mwaka uishe mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] Af hyo kauli yenu hiyooo, badae mnasingzia tatzo la kiufundi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha usijali nitapiga na picha ili niwatoe mateeeeeee
Siunajua ukoko ukoko uleeeHuwa unaunguza?
Yakupasa ukishaweka mchele basi upunguze moto ili kiive taratibu pasi kushika chini.
Hahahaha usijali nitapiga na picha ili niwatoe mateeeeeee
aaahhhh sawa sawa ,nitaanza zoezi sasa , sema siku izi napikia rice cooker imenirahisishia kaziDuuh! Jitahidi kuwa unapunguza moto kuanzia ule muda umeweka mchele. Yaani usiwe na haraka ya kutaka ukauke.
Hahahaha msiniombe tu sahani
Ni kwel kabsa,unapunguza moto ukiweka mchele.... Moto mkali unababua chakula kinaungua af kinakua hakiivi vzurDuuh! Jitahidi kuwa unapunguza moto kuanzia ule muda umeweka mchele. Yaani usiwe na haraka ya kutaka ukauke.
aaahhhh sawa sawa ,nitaanza zoezi sasa , sema siku izi napikia rice cooker imenirahisishia kazi
Hahahahaaa tutaomba location kabsa tuje fasta,ole wako sasa uwe umepika sahani moja[emoji23][emoji23]Hahahaha msiniombe tu sahani
Yeah nliona wifi yangu anapikia aliweka tui lile la 2 na kila kitu then wali ulitoka mzuri tu.Mi sijawahi kupika na hicho kitu huwa naona kwa ndugu zangu tu nikienda kuwatembelea.
Lenie hivi ile unaweza kupika chakula cha nazi kweli?
Hahahahaaa tutaomba location kabsa tuje fasta,ole wako sasa uwe umepika sahani moja[emoji23][emoji23]
Ushatamanisha nikatafte njegere jion nipike wali wa maua
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaa haya sie twasubr kadi za mwaliko ndani ya siku hz 4Hahahahaha uwiiiiii umejua kunivunja mbavu hhahahahhaHamna Mkuu,hata ndege inakata kona angani
Inategemea NTU na NTU
Ohoo bas,ila angalie tu usivimbiwe kwa utamu huo. Ukipika vzuri msosi utatoka superIyo location mpaka mfike ,nishajioshea na sufuria maana sio kwa kupitishwa kona kona