Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Dr Simon Sigwa wa Sinza MoriMimi nimewakumbuka hawa
- Profesa Matunge r.i.p
- Hawa Nyamichwo r.i.p
- Ng'winzukulu Jilala r.i.p
- Profesa Majimarefu r.i.p
- Dr. Rahabu Lubago
- Dr. Isaac Ndodi
Aisee,Mwenyezi Mungu anisamehe nilijua amekufa,nilivyoona R.i.p nyingi nilijua na yeye yumo.Yupo hai mkuu
Ong'wana oshimba na ng'we Simba. .. Ng'wizukulu Jilala (Dr. William Limbe)Ng'winzukulu Jilala, huyu alichukua floor nzima kwenye ghorofa moja pale Kariakoo
Dr manyau nyau vipi haingii hapo?😅😅
Manyau yupo usaDr manyau nyau vipi haingii hapo?😅😅
AlishakufaOng'wana oshimba na ng'we Simba. .. Ng'wizukulu Jilala (Dr. William Limbe)
Naona yuko uingereza siku hizi😅😅Yule alikuwa Mchawi tu
Uingereza nadhani, maana juzi niliona huko Facebook amepost yupo Emirates anasubiri mbungi ya arsenal aitazame.Manyau yupo usa
Kawapelekea wabongo dawa ulaya sijui wakawaloge wazungu?Uingereza nadhani, maana juzi niliona huko Facebook amepost yupo Emirates anasubiri mbungi ya arsenal aitazame.
Anasema hajawahi kujutia kuwa mganga kwa maana uganga ndio umemfungulia dunia... Jamaa enzi zake aliiteka Dar hasa uswahilini uswahilini 😅Kawapelekea wabongo dawa ulaya sijui wakawaloge wazungu?
Mchawi dizain ya wanamazingaombwe halafu maneno mengiii!!!Yule alikuwa Mchawi tu
Naunga mkono hojaNafasi ya hao ma herbalists imechukuliwa na mitume na manabii feki au hao waganga wa kienyeji wamejigeuza ni mitume na manabii ili kuendana na soko la ujanja wao linasoma wakati gani watu wana shida na matatizo na wanataka kufarijiwa na kina nani.