Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
- Thread starter
-
- #61
HaahaaDr. Mwaka!
Mama Terry
Hawa jamaa walitumia vipaji vyao vya kuongea na mitishamba kufanya ulaghai kwa wagonjwa!
pole mkuu kumbe nawewe ulikuwa muhangaHuyo Matunge Herbalist kuna mwaka nilienda kwenye ofisi yake maeneo ya Kijitonyama kama sijakosea! Nilipewa dawa feki tu kama ilivyokuwa kwa yule Mwaka wa Ilala Bungoni! Yaani ilikuwa ni wizi tu.
yeah mwamba alikuwa na sharubu za mashavuni kama simba vileπDuuh!! Kweli ww ni mhenga. Prof Vulata yule mwenye sharafa nyingi mashavuniπ
V.O.T kila kipindi mdhamini ni kigwangala._kigwangala herbal clinic Tabora enzi izo Redio ya Adeni Rage VOICE OF TABORA FM (V.O.T)
nilipitaga hapo mkoa wa Tabora nikawa nasikia KIGWANGALA HERBAL CLINICπΏ
_Jamaa alikua anajinasibu kutibu hadi ukimwi kwa mitishamba yake ni daje vuu
Huyu msabato kapiga pesa sanaIsaac Ndodi
Alikuwa anafundisha watu waepuke kupata vitambi bdae alivyopata pesa nayeye akapata kitambiπ€£Huyu msabato kapiga pesa sana
Huku hatutapeliki kilaini, aende huko Facebook kwa wenzake wenye akili fupi mithili ya umeme wa luku.Mkuu Mzizimkavu tupo naye humu kitambo sana japo naona kama amepunguza sana activity zake humu
Huyu alikuwa mtabiri wa nyota. Sambamba na akina Philip KajuraDr. Ezekiel
ngoka eleven na ngetwa 3Sijajua madaktari wao ila dawa zao zilikuwa maharufu ni NGOKA na NGETWA
TumboMimi nimewakumbuka hawa
- Profesa Matunge r.i.p
- Hawa Nyamichwo r.i.p
- Ng'winzukulu Jilala r.i.p
- Profesa Majimarefu r.i.p
- Dr. Rahabu Lubago
- Dr. Isaac Ndodi
Ngoka eleven. Ilitamba sana 2000 mwanzoniSijajua madaktari wao ila dawa zao zilikuwa maharufu ni NGOKA na NGETWA
Oya nlikuwaga nacheka sana yule jamaa noma sana πππππNilimkuta Bi Mkubwa ana tenga zima la malimao ndani!
Kuuliza vipi umeanza biashara ya genge?
Najibiwa,"Kwani humfuatilii Dr Isack Ndodi".