ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #61
Ooh asante sana mkuuYes! Mkuu nakubali kabisa.
Hii ni Data Analysis, yaani naisambaza taarifa Fulani alafu naweka attention kujua maoni ya watu au watu wanaelewa vipi juu ya hiyo taarifa.
ndugu mdau,Ooh asante sana mkuu
Sasa wewe Tlaatlaah ulishindwa kujibu au ?
Maana uliishia ku react kicheko
Au na wewe ulikua hujui cha kujibu ?
Mchangiaji kajibu huku kama hayupo sahihi kwenye hoja yako njoo umsahihishe
Kama yupo sahihi gonga meza unga mkono
Huyo ni wale vijana wasio na mbele wala nyuma... Imekaa kupewa hela za kunywea uji tu likitetea mabogusπOoh asante sana mkuu
Sasa wewe Tlaatlaah ulishindwa kujibu au ?
Maana uliishia ku react kicheko
Au na wewe ulikua hujui cha kujibu ?
Mchangiaji kajibu huku kama hayupo sahihi kwenye hoja yako njoo umsahihishe
Kama yupo sahihi gonga meza unga mkono
La hasha si mimiUmeuliza uliza vijimaswali vingii kwa kuzunguka zunguka, ni wewe nini mkuu unafanywa informer bila ridhaa yako?
Oooh shukrani sana mkuu karibu tenaNi "chawa" mlamba miguu pekee ndiye anayeweza kufanya huo ujasusi wa ridhaa bila kujua.
Kwa mwingine usiye chawa, lazima ushawishiwe kwanza kuungwa kwa kazi ya uinforner na kupewa maelekezo jambo la kulifuatilia na kulitolea taarifa.
Mambo hayo yanaenda hatua kwa hatua kama dose ya dawa za hospitali.
Baadaye wakikuona "wautulie" na unaendana na kutii, pamoja na kufanikisha kwa usahihi malengo kusudiwa, ndipo unapofanywa knepper kamili na kuanza kupangiwa majukumu na kulipwa allowence.
Lakini from no where, mtu na akili zako hauwezi kufanya kazi ya uinformer bila mwenyewe kujua, maana maswali ya dodoso yatakuchosha na utashitukia deal mapema sana.
Haya asante kwa maonikwa mfano,
wanausalama wamewakuta mahali mnajadlilana kuhusu jambo fulani ambalo wanatafuta taarifa zake. Hali hiyo unaweza kuiitaje?
na ndio maana nikasema hao wangwana wa usalama, wanaweza kukusanya taarifa wanazohitaji bila hata wadau wanaozijadili kujua, kwasababu sio rahisi kumgundua mwana usalama alie mission.
Yes ,
unaweza kuandaliwa strategically, na kutengenezwa kua somebody somewhere katika nchi, bila wewe kujijia.
Na inafanyika hivyo, kwasababu ukijua unaandaliwa unaweza kuanza kuzembea mathalani kwenye mafunzo au unaweza kuanza kujawa kiburi na pengine dharau na kuota pembe na kutamani muda ufike haraka n.kπ
Ooh asante sana sikujua hili kablaUjasusi ni kipaji, Ujasusi ni ajira.
Unaweza ukawa na kipaji cha ujasusi na usiajiriwe kwa KAZI hio moja kwa moja inagawa itakusaidia kwenye maisha yako kila siku.
Karibu sanaShukrani sana mkuu.
KashesheHuyo ni wale vijana wasio na mbele wala nyuma... Imekaa kupewa hela za kunywea uji tu likitetea mabogusπ
Hayo mambo ulitarajia kuyaona wapi?ndugu mdau,
kuna mambo ambayo sitarajii kuyaona humu, sasa nikiyaona najikuta nacheka tu na kuwawaza wadau juu ya jambo lenyewe
Sometimes unaweza usijibu sio kwamba hupendi kujibu jibu ila ni kwasababu jibu hunalo πIn fact,
napenda kusoma, kuongeza uelewa na ufahamu wangu zaidi ya kujibu jibu tu, kwasababu napenda nikijibu basi Mungu awe amejibu pia π
Kwa Nini usipate info?BIla malipo upati info
Ni sahihi, Tena mara nyingi TU.Wow nzurii hii
Kwa uelewa wako
Je mtu anaweza kutumika kufanya ujasusi bila yeye kujua kama anatumika?
ndugu mdau,
kuna mambo ambayo sitarajii kuyaona humu, sasa nikiyaona najikuta nacheka tu na kuwawaza wadau juu ya jambo lenyewe
In fact,
napenda kusoma, kuongeza uelewa na ufahamu wangu zaidi ya kujibu jibu tu, kwasababu napenda nikijibu basi Mungu awe amejibu pia π
Hakuna lolote tupo darasani tu hapa
In fact,Hayo mambo ulitarajia kuyaona wapi?
Sometimes unaweza usijibu sio kwamba hupendi kujibu jibu ila ni kwasababu jibu hunalo π
Karibu tena
Shule zimefungwa tupo likizo!!!Mtoto wa shule tulia sasa
Usome wadau wakidadavua
Ooh mimi nimelileta huku JF nimekosea ?In fact,
nilitarajia kuyaona kwenye retreat na workshops za kiusalama kitaifa au kimataifa na sio JF π
Safii kaa hapa tujifunze pamojaShule zimefungwa tupo likizo!!!
Poa!Safii kaa hapa tujifunze pamoja
Kwani hii mada inashangaza nini kwa mfano mpka aseme hivyo?Mkuu nakubali maoni yako lakini Je! Huoni kama dunia imeshabadilika?
Binafsi sioni ubaya wowote watu wakijua haya mambo as long as wasivunje Sheria za nchi.
Pia ujasusi umehamia kwenye Tech, huu tunaozungumza hapa umeshakua wa kizamani.
Hizi smartphone ndio ujasusi wenyewe.
Swali la kizushi kwanini unapenda kuweka hicho kingedere???