Sisi wanaume, baadhi yetu , Huwa wanatabia ya kuomba Tigo Kwa mwanamke 'Mnyonge'.
Huwezi Kuta mwanamke ana Elimu, kazi, uchumi wake, na mwenye Dini , aombwe Tigo na mwanaume.
Mwanaume anaomba Tigo mwanamke mnyonge, yaan mwanamke anayemtegemea Kila kitu kuanzia kula, kuvaa, na Maisha Kwa ujumla.
Sasa basi, Huwa ninawaambia jambo Moja, Msikubali kua pumziko la wanaume wapumbavu .
ACHANA NAYE, HUYO SIO FUNGU LAKO
japooo, japo Kuna kundi kubwa pia la Wanawake wanyongeee, wanaoamin kua, Kwa kutupatia TIGO, basi wanatuteka😂😂😂