Je, unaweza kuwa na mwanaume ambaye muda wote anaomba kinyume na maumbile?

Hii ni tabia yenu wanaume😂
Wanaume hapo ndo tunapofeli. Ila na nyie mpunguze hiyo mizizi mnaturoga sana. Sasa mwanamume ana michepuko mitano na yote imemwendea kwa waganga unafikiri atakuwa na akili kweli ya kumkumbuka bimkubwa wake? 🤣🤣🤣
 
Ndio mkome michepuko yote hiyo ya kazi gani? Alafu ukute yote njaa kali ndio mana mnakufa mapema 😂
 
Tunatafuta utelezi jamani. Tukigonga 50 tushakuwa mababu 🤣🤣 kumbe michepuko inatuzeesha kila mchepuko unadai hesabu
 
Halafu wewe na sophy27 kuna kitu mnatuficha nyie si bure zikijaga hiz story mnajifanya hamjui hizi mambo 🤣🤣🤣
Mm Kama nyeup nasema nyeup na nyeusi nyeusi kwakweli sisemi kitu nisichofanya mbele nafanya hata kuidondokea sawa tu na Wala sio bikra😂😂😂😂 lakin nyuma hapana nisemaje Sasa😂😂😂
 
Back
Top Bottom