Je, unaweza kuwa na mwanaume ambaye muda wote anaomba kinyume na maumbile?

Je, unaweza kuwa na mwanaume ambaye muda wote anaomba kinyume na maumbile?

Yaani mm ningekuwa nishamuacha muda sana kuhusu marinda sinaga utani kabisa jamni kutaka kunikosesha ufalme wa mbinguni 😂😂😂
Unaongea tu kwa vile hatuwaonagi mkiwa chumbani kwenu, huenda we ndo unaliwa kikunyioni throughout the game.

Ukija hapa jukwaani unajikatarisha, nyie viumbe mpo weak sana lijamaa likikukazia tu unalipa tigoni.
 
Masg
Jamani unaweza kuwa na mwanaume ambaye muda wote anaomba tigo? Ukimwambia hutaki huo mchezo anakaa baada ya muda fulani anakukumbusha tena anapenda nyuma, mbona mnataka kutuharibu wezenu tushindwe kukaa na watu kutwa kunuka bodi, hivi mwanaume wa namna hii anaweza akabadilika kwenye sita kwa sita au ana asili ya ushoga anazagamua wanaume wezake?

Hadi namuogopa jamani asije akani rape huko nyuma, mbona nitakosa amani hata kumwekea dog style maana ni style hatarishi hizi za kumgeuzia MTU mgongo jamani, nyie wanaume saizi mmebadilika sana, mpo busy kuwaza tigo kuliko mitandao mingine kwani tigo kuna GB ngapi huko ambazo unazikosa kwenye mitandao mingine?
Naona Mashoga mnaendeleza Promotion ya Unyambi kijanja janja.

Hizi mada mtalaaniwa
 
Unaongea tu kwa vile hatuwaonagi mkiwa chumbani kwenu, huenda we ndo unaliwa kikunyioni throughout the game.

Ukija hapa jukwaani unajikatarisha, nyie viumbe mpo weak sana lijamaa likikukazia tu unalipa tigoni.
😂😂😂Nilitaka nishangae kukosekana comment ya hivi
Kwakweli hatuajuani ukweli wa mtu anao mwenyew lakin haituzuii kuchangia na kutoa maoni yetu pole sana naona Umechukia mno utasema wew ndo mwenye Uzi

Kuna maoni mengi humu lakini naona ya kwangu yamekuuma sana hata nikitoa sijakopa Kwa mtu nitakuwa natoa marindayangu
 
Kabisa aunt Mungu atusamehe lakini hii ya nyingine ni nzito sana 😂😂
Hiyo ina indicate mtu hana akili, maana kuchokonoa mavi ni -ve kichwani, ila kuna dhambi nzito zaidi na watu wamezizoelewa.. ufiranaji rate yake ndogo sana sio kama watu wanavyo aminisha.. naamini kwenye wanawake mia moja hawafikia watano wanao fanya huo mchezo, ila shetani ana u promote sana watu waone kawaida waanze kufanya kama kawaida au kuona jambo la kwaida kwasababu wamesikiliza sana
 
Back
Top Bottom