Je, unaweza kuwa na mwanaume ambaye muda wote anaomba kinyume na maumbile?

Nilimpoteza mwanaume niliempenda kisa huu upuuzi. Sijui wapi tunaelekea
Ni upuuzi tuu wanadhani wasipojaribu sifa ya uanaume itapungua, hayo maponogarafia yanawaharibu sana.

Hizo connection wanazioangqlia za kinyume na maumbile ni ushetani watu hawajui kwa kuangalia akili zinatengeneza taswira kwny ubongo... anyway ni kuwaombea tu
 
Baadhi ya wadada wanawanyima tigo waume zao wa ndoa, ila wanatoa tigo kwa michepuko Kalpana
 
Sema wapo wadada wengine wanawalazimiaha wenza wao wawaingilie kinyume na maumbile a.k.a ndogo dada unaonekana hata wewe uko miongoni mwao kwa maana ukuwa na haja kuomba ushauri bali ungechukua 50 zako sababu
1. Amekudharau yaan mwanaume anayemheshimu mwenzake hawezi kuongea jambo hilo hata kama hawara au mke

2. Amekuchukulia malaya hivyo unasubiri upate tatizo siku ukitaka kujifungua mtoto ni hayo tu.
 
Kama wewe ni mzima wa akili achana na huyo mwanaume kwasabab wanaume wanaopenda penda tigo wote wanamatatizo ya akili, ila kama unaweza kumvumilia chizi endelea nae, kama ndo kama mnavyosemaga kwamba "ila bado nampenda" mpe jicho maana wote machizi, kama umependa hela zake sasa ndo ugharamike.
 
Mdogo wangu...

Kama ni mpenzi tu unaweza kusepa. Na kama ni mume sina cha kushauri😅😅😅.

Hiyo kitu haitoki akilini ataendelea kuwa nayo milele na milele amina.
 
Hakuna wanaume wengine?Muendekeze tu.
 
My dear akili kumkichwa, usijesema hukuambiwa. Ipo siku kama hutokubali kwa kupenda kwako basi atatumia nguvu alafu ndio utakua ushaleft group.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…