kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,323
- 12,594
Mzee wa kutindua naona umeweka kanembo kabisaUngekuwa hutaki kwa dhati huyo ungemtimua zamani
Hivi kweli unalazimishwa kufanya kitu usichokikubali bado uko nae tu?
Yaani umekosa mtu mwingine mpaka uwe nae huyo [emoji304]