Je, unaweza kuwa na mwanaume ambaye muda wote anaomba kinyume na maumbile?

.
Achana na huyo mtu, kuna roho ya ushoga iko ndani yake.
.
Siku yakimzidi, atakulawiti kinguvu.
 
Halafu nyie wadada kwa nini mnapenda kuyabinua matako yenu au kuvaa nguo za kuonyesha kwamba tako lipo.

Hebu leo mtuambie lengo lenu ni lipi hasa? Nyie wenyewe ndo chanzo cha kufanya wanaume tuwaombe tigo
Msitusingizie tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…