Je, unazijua sifa za mtu kuwa mlinzi wa Rais?

sifa kuu ya kwanza ni kua msiri na hili ndio linafanya mpaka sasa wausika wasichangie

Ingekuwa Ni SIRI Kamwe Wasingekuwa Wanatuambia Na Kuturopokea Wanayoyafanya Humo Ofisini Kwao Makumbusho, Oysterbay, Kinondoni Makaburini, Stesheni Na Ubungo Maji Tena Wakiwa WAMELEWA CHAKARI, Bastola Zao Wamezianika Mezani Huku Pembeni Wakiwa Wamezungukwa Na VINCHECHEDE. Usipotoshe Watu Hakuna Siri Sasa Ndani Ya PSU au TISS Ila Tunachokifanya Ni Kuwatunzia Tu SIRI Zao Zingine KIMAADILI Kwa UZALENDO Wa KUIPENDA Nchi Tuliopewa Tukiwa Kama Watanzania Na Wao Wakiwa Ni MAKAMANDA Wetu WATIIFU Na WALIOTUKUKA.
 

Sio bluce Lee....??
 
Kila nchi duniani ina mfumo wa kuandaa walinzi wa rais mfano china huchukuliwa yatima na kupelekwa shule za kijeshi toka wadogo pamoja na mafunzo ya shule za kawaida ya kichipukizi hupewa mafunzo maalum.kabila alifanya hivyo lakini matatizo yalitokea baada ya kushawishiwa na bosi wake ambaye naye alipata matatizo.
 


Katika ubora kamanda
 
Rais wetu analindwa na majini ya sheh yahya Hussein
 
Kuna uzi ulishawahi kuzungumzia hawa watu kwa kina..ni wa kitambo kidogo..
 

Habari mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Sifa za mlinzi wa Rais TZ

1. Mzalendo
2. hatumii madawa haram ya kulevya
3. hana majivuno
4. Mwenye kujituma na muwajibi9kaji
5. Ajitolee kufa kumoukoa kiongozi
6. nitaendelea.........
 

si kweli hawafanyi na makomandoo...kimsing afisa usalama yoyote ni mlinzi wa kiongoz kwa k

uwa wanapatiwa mafunzo basic ya hali ya juu kutegemea na uhitaji...then baadaye una pewa another training regardin ur position mathalan kulinda kiongoz kwa karibu kabisa...hapo utapata deep trainings, hiii ni baada ya walim kuangalia uwezo wako katk kujihami..kulenga shabaha sharpness...werevu na umakin, after that unapewa kiongoz, walinz waopo wke kwa waume, kamabkiongoz nj mwanamke atapewa boardguard mwanamke, kuhusu ukomavu inategemea na umbile la mtu...walinz hao wameoa na kuolewa na wanaish na familia zao, kama mtu hajaolewa hilo ni yy binafsi na si kisingizio cha kaz kwakuwa si mda wote anatakiwa aaambatane na kiongoz kwan shift zipo...nadhan inatosha, by da way huomb kaz walim wakonwa chuo, shule ya sekondar au ufund ama jkt ndio wanaokuona na kusugest cz maafisa wapo katika kila eneo kubwa
 



Soma Vizuri Post Yangu Kisha Ukishajiridhisha Utaniambia ILA Hata Hivyo Nakushukuru Kwa Kushirikiana Nasi Katika Kuonyesha Uzoefu Wako Wa Ki POPOMA Wa UWT.
 

ukiona ameropoka ujue sio sir na kwamba haina madhara kwa jamii kuitambua, Siri kuuu kamwe kuiropoka ni noma hata kama umekunywa kreti la bia ya safar....hizo glock wanazozianika hazina madhara kuonekana kwasababu wao ni walinzi wa wazi kabisa na wameruhusiwa kufahamika ndio maana rahis kuwajua na kuwatambua, but wale wasio ruhusiwa hutaona bunduk zao wala kujianiaka mana kwa kufanya hivyo ni kujiumbua as a result abortion of plan....so dont giv urself false hopes.
 
Soma Vizuri Post Yangu Kisha Ukishajiridhisha Utaniambia ILA Hata Hivyo Nakushukuru Kwa Kushirikiana Nasi Katika Kuonyesha Uzoefu Wako Wa Ki POPOMA Wa UWT.

post yako nimeielewa ila nlichogundua nj kwamba u know absolutely nothing...empty head....which is an advantage to some people, keep on spreadin fake info
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…