Je, unazijua sifa za mtu kuwa mlinzi wa Rais?

Hao ndo dagaa sio?Hongera
 
Mbona Hizo sifa hatuzioni humu ndani saivi mmehama mada
 
Mbona Hizo sifa hatuzioni humu ndani saivi mmehama mada

ndugu sifa ni za kawaida tu ambazo wengi wanazo
..uwe umetia mafunzo ya uwt
...utanzania wa kuzaliwa
...uaminifu
...uzalendo
...mwenye kujituma
...uadilifu
..usiwe mropokaji
..no criminal records
..mental n physocal fit
..usiwe mlevi kupindukia
..elim zaman kuanzia la saba but siku hiz form four
..etc etc
 
chuo chao hapa bongo kiko wapi?
 
chuo chao hapa bongo kiko wapi?

tanzania vyuo vipo visiwan na bara...exactly maeneo nisamehe cant mention, but also it depend unaweza pelekwa hata nje katika vyuo rafiki vya hiyo taasisi. walim wapo wengi cz masomo yapo mengi, na ikitokea upo chuo cha nje unafunzwa na walim wa chuo wa nchi husika.
 
hapo kwa elimu siku hizi mbona kama huzingatia sana kuanzia division 3 hadi 4/28? mwenye division 4/29 au 4/30-division 4/33 ni kweli hana sifa za kuifanya hiyo kazi?? vipi kuhusu hilo mkuu.
 
hapo kwa elimu siku hizi mbona kama huzingatia sana kuanzia division 3 hadi 4/28? mwenye division 4/29 au 4/30-division 4/33 ni kweli hana sifa za kuifanya hiyo kazi?? vipi kuhusu hilo mkuu.

inategemea na uhitaji mfano mtu wa garden hata four failier..ana qualify...
 
inategemea na uhitaji mfano mtu wa garden hata four failier..ana qualify...

four failure na four/29,30,31-33 ni tofauti mkuu!!! nazungumzia tofauti ya utendaji ya mwenye four/28 na mwenye four/29-33.. samahani kama sijaeleweka!
 
vipi vitui vinapatikana huko
 
na wote lazima mfanye kozi za kijeshi kwanza au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…