Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Tunaona taarifa na mjadala kuhusu ajali ya helkopta inayodaiwa ilimbeba Rais wa Iran. Ikumbukwe siku chache Iran ilivamia Israel kwa makombora /ndege zisizo na rubani na Israel waliahidi kulipiza kisasi.
Je, ni kweli majasusi wa Israel wameweza kuingia kwenye mifumo ya mawasiliano ya Iran? Je, kama Israel imefanikiwa kutekeleza hujuma hii vita itaendelea?
Ipi kesho ya Iran kwenye mapambano haya ya uchumi, dini na siasa?