Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Walokole wanashida sana wapuuzie tuKwamba Israel ndiye kaweka ukungu eneo la tukio.Wabongo mnakuwa wepesi sana kuja na assumptions ambazo hazipo na kutoa hitimisho ambalo halina mtiririko mzuri kwenye reasoning
Eneo la tukio linaonyesha kabisa ni question of weather(Ukungu umetanda sehemu kubwa) and now unakimbilia kusema Israel.Kuwa na subira kidogo ukweli utajulikana
HELIKOPTA zilikuwa 3 siyo? Kwa hiyo moja tu ilombeba rais ndiyo ilopata shida ya ukungu?Kwamba Israel ndiye kaweka ukungu eneo la tukio.Wabongo mnakuwa wepesi sana kuja na assumptions ambazo hazipo na kutoa hitimisho ambalo halina mtiririko mzuri kwenye reasoning
Eneo la tukio linaonyesha kabisa ni question of weather(Ukungu umetanda sehemu kubwa) and now unakimbilia kusema Israel.Kuwa na subira kidogo ukweli utajulikana
Ndio zilikuwa tatu(sina uhakika sana maana reporting ya Aljazeera wanaongelea helikopta moja tu iliyoanguka).Reporting za media nyingi duniani wanasema inaweza kuwa question of weather(Binafsi nimeangalia Aljazeera)HELIKOPTA zilikuwa 3 siyo? Kwa hiyo moja tu ilombeba rais ndiyo ilopata shida ya ukungu?
pyongyang kinachokukasirisha ni nini wewee?Tunaona taarifa na mjadala kuhusu ajali ya helkopta inayodaiwa ilimbeba Rais wa Iran. Ikumbukwe siku chache Iran ilivamia Israel kwa makombora /ndege zisizo na rubani na Israel waliahidi kulipiza kisasi.
Je, ni kweli majasusi wa Israel wameweza kuingia kwenye mifumo ya mawasiliano ya Iran? Je, kama Israel imefanikiwa kutekeleza hujuma hii vita itaendelea?
Ipi kesho ya Iran kwenye mapambano haya ya uchumi, dini na siasa?
MKIAMBIWA MUNGU WA ISRAEL NI MUNGU WA KWELI NA MUWEZA WA YOTE MNAKUWA WABISHI SASA KAAMUA MWENYEWE KUFANYA HALI YA HEWA IWE MBAYA HUYO RAIS AFE KWA KULIPIZA KISASI KWASABABU ALIAMURU MAKOMBORA NA DRONES KUINGIA ANGA TAKATIFU NA TEULE LA ISRAEL.Mshaambiwa hali mabaya ya hewa, sasa israel ndio kaweka hali mbaya ya hewa ama!!
Yule waziri wa israel ajali yake kulikuwa na mkono wa iran..
Binafsi nakubali ni hali mbaya ya hewa na siku zake zimetimia hakuna namna.
Cc makaveli10Kuna Matukio Unapigwa Alfu unajiuliza Sanaa Imekuwaje Hali hii Hapo Kwenye maswali MOSSAD NDO WANAPOPATAKA Ili Msipate Jibu Haraka Haraka Inakuwaje Hericopta ziwe 3 Alafu Hitilafu ipate Moja iliyombeba Rais ??????????????????????? ndio Maana ya Intelejensia ya Hali ya Juuuuuuuuu
Chezea Mossad weweeeNdio zilikuwa tatu(sina uhakika sana maana reporting ya Aljazeera wanaongelea helikopta moja tu iliyoanguka).Reporting za media nyingi duniani wanasema inaweza kuwa question of weather(Binafsi nimeangalia Aljazeera)
Jambo la Israel kuhusika au vinginevyo ni mapema.Yani unaweza kutoa hitimisho kizembe hivi
Chezea Mossad weweeItakuwa ni ajali ya kawaida , japokuwa kuna maswali ilikuwaje wakaande helicopter kwenda nje ya nchi? Watu wa hali ya hewa hawakuwepo ili kuzuia wasisafiri kwenye ukungu?
Mkumbuke, Iran ndiyo Taifa pekee lenye Full Islamic Theocratic Govt. Matukio yajayo Serikali kama hiyo haitatoa ushirikiano. An eye is still on Putin with his war on UkraineTunaona taarifa na mjadala kuhusu ajali ya helkopta inayodaiwa ilimbeba Rais wa Iran. Ikumbukwe siku chache Iran ilivamia Israel kwa makombora /ndege zisizo na rubani na Israel waliahidi kulipiza kisasi.
Je, ni kweli majasusi wa Israel wameweza kuingia kwenye mifumo ya mawasiliano ya Iran? Je, kama Israel imefanikiwa kutekeleza hujuma hii vita itaendelea?
Ipi kesho ya Iran kwenye mapambano haya ya uchumi, dini na siasa?