Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
-
- #281
Mkuu yaani... Wewe ndo unataka usiku usilale sioNatamani kufanya kazi za jioni-usiku baada ya mishemishe za asubuhi na mchana
kwenye malengo yangu ya mwaka huu ipo[emoji736]
Hivi ishu ya mafuta ya transfoma kutumika kwa chipsi ni kweli mkuuNiliwahi kupiga sana kazi za usiku kipindi hicho tunaiba mafuta ya transformers (miaka hiyo yalikuwaga dili sana mjini)
Nimegee kadhaa nkusaidie kijanaView attachment 3190336
Usiku una mambo mengi mno
Mda huu wa usiki kila mtu anautumia kivyake, kuna wale wa kulala. Kuna wale wa kuwanga, kuna wale mafundi ila kuna sisi wengine ambao keyboard ndo chakula chetu.
Kwangu mimi hizi kazi za usiku zimekua too much mpaka nasema hivi ni.lini takua na mpenzi ambaye anaelewa hizi harakati zangu.
Imagine unaweza tafutwa saa nane ya usiku ukaambiwa kinahitajiika kitu fulani. Wewe hapo utawasha PC na kuanza kufanya kazi.
Muda wote tuna kesha na maji vs energy.
Yaani kiufupi kulala inakua changamoto mno kazi zetu zinahitaji mda wote uwe active...
Bado ujapata assignment za watoto wa chuo hapo ndo utajuta ni mwendo wa kuchimba tuu daily...
Hakuna jmosi wala jpili... Kila siku ni kazi kazi.
Kwetu usingizi umekua adimu sana mpaka mwili umezoea sasa.
Je, ulishawahi kufanya kazi hizi za usiku mpaka ukawa upo bize na vitu vya ajabu ajabu kama mapenzi na umbamba mwingine?
View attachment 3190333
Unayaweza mkuuNimegee kadhaa nkusaidie kijana
Mkuu niko Mbeya one time.Wapi kwa sasa
Sawa sawa sasa kesho pitia uyole makasini hapa mkuuMkuu niko Mbeya one time.
Haina noma mkuu, kuna nini pale?Sawa sawa sasa kesho pitia uyole makasini hapa mkuu
Pale bana ndo hom sweet hom mkuuHaina noma mkuu, kuna nini pale?
Anhaa, Saa8 usiku naiamsha BM, naingia Njombe.Pale bana ndo hom sweet hom mkuu
Njombe jipange bard la pale mkuuAnhaa, Saa8 usiku naiamsha BM, naingia Njombe.
Siku nyingine nitapokua nakuja tena ntakushtua ili nikawape hai home.
Hatari sana ππNjombe jipange bard la pale mkuu
Utakufa mkuuHatari sana ππ
Kila mtu atakufa siku1, π!Utakufa mkuu
PombeKila mtu atakufa siku1, π!
Nipe mbinu kuu ya kupambana na baridi.
Hahaha sumu chupa moja ni chupa moja hata ukii dilute inabaki kuwa ujazo ule ule umeenda mwilini.Sawa sawa mkuu japo na balance..
Energy moja na chupa la maji moja hapo kikemia tunasema ratio ni water : energ ni 2:1
Ndiyo nafika hapa, nimepaki Soko kuu hapa, nimetulia.Pombe
Mashangzi
Alafu watoto wa huko sio wa asumbufu ukifika nambie nikuelekeze mitaa ya kiesa na triple 7