Je, ushawahi kumfumania mpenzi wako au kufumaniwa? Ilikuwaje?

na kwanini umfumanie......kuna mahali unakosea.....lazima apindue ngalawa....
 
sijawah waza hayo masha!na sijawah fumania/fumaniwa!
Kwanza hutakiwi kupanic hapo ndo utapomchezea akili yake kwa muda mrefu kuna mdingi alifumwa na mkewe jinsi anavyojipendekeza sasa wiki ilopita kamnunulia harrier mamsapu wake hiyo yote anajiombesha msamaha maza mwnyw sasa anaoshea watu vyombo km hana akili
 


Aisee !ndaga mama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…