agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,414
Kutongoza mbele yanguNawezaje kuishi bila wewe. Embu nambie pls. Kosa langu lipi mamaa.
π€£π€£π€£π€£π€£ heheh huyo mdada yupo wapi sikuhizi maana sio kwa mashauzi hayo aisee. Kwamba kijana wa watu alikuwa na muonekano wa kishamba au alionekana kolo tu? Napenda sana kujua huyo mrembo ameishilia wapi sikuhizi maana si haba ukute kazalishwa na kondakta pamoja na tambo zote hizo [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana mpenzi umenukuu vibaya bana ni wapi nimesema namtaka.Kutongoza mbele yangu
Ipo siku tu nitasema tena nitafungua kiuzi special[emoji28][emoji28]
NdioNisiwachoshe, kuna msichana nilipewa namba yake na nikaelezwa jinsi alivyo nayeye akapewa namba yangu akaelezwa jinsi nilivyo,basi tukaendelea kuwasiliana na kupanga mipango ya kuja kukutana,Ila cha ajabu sasa juzi alinipigia cm,akasikia kama sauti za kike zinaongea akakata cm,halafu akampigia huyo rafiki alienipa namba Mimi na kimsimulia kilichotokea,na ni mtu anaeonekana ananipenda sana japokuwa hatujaonana, je ilishawah kukukuta situation kama hii,je mlivokuja kuonana upemdo uliendelea au ulipungua?
WeeeeHapana mpenzi umenukuu vibaya bana ni wapi nimesema namtaka.
haha haha!!!Hahahahahaha
Mimi ishanitokea na tukaachana hata hatujaonana
hahahah wewe ndie unampenda zaidi! pole kaka,Nisiwachoshe, kuna msichana nilipewa namba yake na nikaelezwa jinsi alivyo nayeye akapewa namba yangu akaelezwa jinsi nilivyo,basi tukaendelea kuwasiliana na kupanga mipango ya kuja kukutana,Ila cha ajabu sasa juzi alinipigia cm,akasikia kama sauti za kike zinaongea akakata cm,halafu akampigia huyo rafiki alienipa namba Mimi na kimsimulia kilichotokea,na ni mtu anaeonekana ananipenda sana japokuwa hatujaonana, je ilishawah kukukuta situation kama hii,je mlivokuja kuonana upemdo uliendelea au ulipungua?
Hahahahahahahaha haha!!!
Haya hayaHapana mpenzi umenukuu vibaya bana ni wapi nimesema namtaka.
Agata wangu.
Bora umekuja ni wewe ujue.
Mimi nimeadmire miandiko yako tu[emoji7]
Mmmmh
Agata wangu, ananichimba chimba huyu. Hajui kama me ni wako.
Aaah sikutaki tena umenishinda [emoji2088] [emoji2088] [emoji2088] [emoji2088]
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Usifanye hivyo pls.
Felister
Njoo unisaidie naachwa bila kosa. Njoo umwambie ule ulikuwa utani tu.
Hujambo
Eeeeh... Ulikuwa unanitania?[emoji22]
Nishafanya maamuzi
Nawezaje kuishi bila wewe. Embu nambie pls. Kosa langu lipi mamaa.
Kaka Extrovert msaada wako pls kibuti kinataka kunihusu. Okoa jahazi.
Kutongoza mbele yangu
Hapana mpenzi umenukuu vibaya bana ni wapi nimesema namtaka.
Naona kabisaa weekend yangu ikiharibika...Weeee
Aaaah π ππNaona kabisaa weekend yangu ikiharibika...
Ila Nashukuru sana jamani handsome, melifahamu hilo mapema mimi ..
Nitumie peke yangu sababu ndiyo nimekuwa nauhitaji kuliko wote [emoji23]
Nimefurahi tu mama ake;;; haha siwezi Cheka Mimi naogopa maadhabu makali makali mnayofundishwaga uko kwenye lindo.Hahahahahaha
Unanicheka babake
Naona kabisaa weekend yangu ikiharibika...
Ila Nashukuru sana jamani handsome, melifahamu hilo mapema mimi ..
Ha ha wewe ndugu yangu unaonekana upo very innocent michezo yetu ya janja janja hauijui,kila la heriHalafu kinachoniuma mara ya mwisho nilikuwa nawasiliana nae mimi, nakumbuka akaniambia subiri kidogo, basi nikakata cm,kuanzia hapo ndo akawa hapatikani kama siku tatu hv wakati sio kawaida yake, ndo nikaja kupigiwa na rafiki yake akaniambia aligongwa na pikipiki mid a ya saa moja jioni,na yupo I.c.u,hajitambui,ndo akaja kuzinduka kesho yake, na alivozinduka ndo akawa anataja jina langu,daah aiseee
[emoji28][emoji28][emoji28]