Je, ushawahi kumpenda mtu ambaye haujawahi kumuona?

Nilitaka ni download hapa nimeshindwa😯
Umeipenda hiyo Ngoma enh

1. Copy URL kwenye Youtube video au andika ila ondoa space zote hii uanze na https : // youtu.be/ jjnmI CxvoVY

2. kisha Fungua hii wesite hii https://www.onlinevideoconverter.com/youtube-converter

3. Utaipaste hiyo link kwenye namba 1. Make sure Format isome Mp4 kwa video na mp3 kwa Audio n.k kisha bonyeza Start !

4. Itaenda hadi 100% ikimaliza Bonyeza Download

5. Tayari nenda kwenye download file ule mziki wa Video

Savage Garden - I Knew I Loved You (Official Video)

6. Ukifanikiwa gonga Like.

Or Download attachment hapo down kazi kwako
 

Attachments

Upendo wa kuwasiliana ni rahisi watu uwa wanaenjoy maana ni ngumu kuona makosa ya kila upande. Wanapokutana ni sawa na kuanza moja. Unakuta yale uliyofikiri ni tofauti na unayoyaona. Kuanzia muonekano hadi tabia.
 
Asa We mkali asante sanaaa
 
Mimi huyu wa kwangu ukimuuliza muonekano wake anajiamini sana, anasema mungu kampendelea hataki kumkufuru mungu,pia kumbuka Mimi nnaishi na rafiki yake nae huwa anamsifia sana muonekano wake,kwahiyo ndo maana nnacomfidence kidogo,
Namjua huyo wa kawaida sana kaka
 
Ilo swala lipo na ninathibitisha ila kwangu imetokea kinyume kidogo.

Wakati msanii Rihhana anatoka na ile nyimbo yake 'pon de replay' nilimpenda sana, nilimpenda kimapenzi kabisa na ninakumbuka nyakati hizo nafatilia kweli mziki.
Basi miaka ikaenda...nikaja kusikia anatoka na Chriss Brown, kidume mie nikaanza kumchukia CB wakati kiukweli yeye pia alikuwepo katika list ya RnB artists ninaowapenda.

CB alikuja nitibua pale mlipo mpiga Riri...nilimaindi sana tena sana.
Namshukuru mshikaji wangu mmoja hivi nilimwadisiaga inshu hii na ndo yeye aliyenishauri na kuniambia ni move one, like nipo Bongo na nitafute demu wa Bongo.

Maisha haya ni drama tosha, movie za drama kuangalia ni fantansy tu.


Melvine!
 
Inatokea ila wengi wao mkionana ile bond inapotea
 
Kuna ujinga wa watu kupenda watu kisa vi "avatar" na "id" fake.
Huu nao ni ujinga kama ujinga mwingine.

NB:
Nina degree 4, jichek kwanza kabla hujanikosoa.
 
Hii ilikuwa UMISETA ya wapi?

Tanga, Mwanza au Arusha? maana hivyo vituo ndio vilikuwa na UMISETA zenye mambo haswa...
Haya mambo ya umiseta umenikumbusha mwaka flani pale iringa kulikua na game zainapigwa viwanja vya don bosco kti ya Tosamaganga na Mkwawa high school ebwana eee.Timbwil lililojitokeza siku hiyo sitakaa nisahau balaa lake.Na enz hiz wanafunz wa advance walikia mading kwel sio kama hawa wa leo ..zilipigwa ngumi siku hiyo ffu wenyewe walikaa pemben kwanza.Maana watu walimwagiana mpaka tindikali..umiseta umiseta kwel.
 
Asante mkuu
Jib la kikauzu sana hili.Mtu ankwambia anakupenda halaf unajibu "ahsante mkuu".
Ahahahahah.Hii ni straight "indirect" rejection.
Bora hiyo mkuu usingeiweka umpe moyo kidogo
 
Akili zako dooh. .usisahau ushauri wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…