Je, ushoga umeanza kukubalika Tanzania?

Je, ushoga umeanza kukubalika Tanzania?

Hapa nilipo Kwanza naumwa homa Kali acha nizingatie afya yangu ya dunia siyawezi kila siku marudio wakati uchafu huu upo na unafahamika kikubwa mlinde mwanao na mtoto wa mwenzio asijaribu kuanza...ila Yale yaliyokubuhu Moto wao hauko mbali nyoyo zao zinauma na hakika kwa MWENYEZI Mungu hawataweza kurejea...video za ngono nako sio nzuri maana Zina category ya ushoga
 
Ndio nini hizo tops, vers na bottoms elezea kinaganaga wengine hatupo huko daslamu kwenye mambo hayo?
Sio dar tu mikoa mingi Lindi ulizia Paris club Kuna mashoga Kama wanne maarufu Sana pale
 
nilisikia ushoga unaanzia kwa mateja, wanapokosa misuli ya kuchoma inabidi watumie ya uume, sasa utasimamaje? If you know what I mean.

serikali haya maunga haya ambayo yametapakaa mitaani siku hizi yanazalisha mashoga kibao.
 
Hii ni hatari sana. Hawa jamaa wasakwe na kuwekwa Rupango wanatuharibia jamii. Eti wanadai serikali haiwezi kuwapangia matumizi ya miili yao.🐖🐖
 
Kuna mmoja Yuko uko @ cocastic hataki kusikia hawa watu ukiwananga kwa kuwashambulliaa akipita apa utaona alivyo waswasa mngoni yulee
 
Ukitazama mitandao ya jamii na mitaani Kuna vijana wanajinadi kabisa kuwa tops,vers na bottoms lakini hawachukuliwi hatua za kisheria.je ushoga umeachwa uenee bila wasi wasi?.
pole ulikuwa bado mdogo...hizi ni za kizamani haswa
 
Kuna ushoga (homosexuality) - sexual orientation/inclination na vitendo vya kishoga (homosexual acts). Mimi nadhani kinachokatazwa ni baadhi ya vitendo vya kishoga na kwa vile hakujafafanulia ushoga ni nini na vitendo vya kishoga vinavyokatazwa ni vipi kuna 'blanket judgement' na 'mchanganyiko maalum'. Which is which?
Ushoga hadharani hauruhusiwi lengo kuokoa kizazi.
Mtu yeyeto anaekojolewa hawezi kuwa na akili.
 
Ushoga ni utovu wa maadili ya jamii,ni ajenda ya black pope na darksiders kuharibu uzao wa mwanadamu.
 
Ukitazama mitandao ya jamii na mitaani Kuna vijana wanajinadi kabisa kuwa tops,vers na bottoms lakini hawachukuliwi hatua za kisheria.je ushoga umeachwa uenee bila wasi wasi?.
hakuna jipya chini ya jua. Ni muendelezo wa sodoma na ghomora. Picha bado linaendelea.
 
Mbona umekushakubalika kitambo. Kukubalika kwa jambo sio mpaka wote nchi nzima wakubali, wahusika wapo wanaendelea na Mambo yao. Hatuwezi hata siku moja kukubaliana 100% kwa Kila jambo. Huyu atataka hili yule atataka lile. So Kila mtu awe huru, bila kudhuru wengine.
 
hatari sana iyo sio njia mpya wala ni za zamni njia mpya ni hizi nguo zenye upinde wa mvua, ukikuta vibukta hivi vina upinde wa mvua alafu ina zipu ogopa sana usivae hata mara moja, nilipewa siri na jamaa flani kwamba zile zenye zipu huwa zinageuzwa nyuma mbele alafu shoga anainamisha for emejency ,

ilishawah mtokea uyo jamaa ni muangalix wa hotel flan hiv sasa siku, mteja wake wa kiume akamuita amsaidie jambo ndo akakutana na jambo kama ilo jamaa alikua kageuza iyo bukta nyuma mbele alafu kaacha wazi akawa anajiinamisha inamisha kama anatafuta kitu, yule jamaa kuona vile mzigo ukashtuka ndo yule mteja akamwambia wafanye.

sijui aliishia wapi maana maadil ya hotel yao haayaruhusu muhudumu kufanya jambo na mteja
Mbona kama wewe,
 
Ukitazama mitandao ya jamii na mitaani Kuna vijana wanajinadi kabisa kuwa tops,vers na bottoms lakini hawachukuliwi hatua za kisheria.je ushoga umeachwa uenee bila wasi wasi?.
Kwani Uzinzi, Umalaya/Ukahaba, Ulevi, Uchezaji Kamari, Uraibu wa Dawa za Kulevya, na Wizi Umekubaliwa Nchini?
 
Ukitazama mitandao ya jamii na mitaani Kuna vijana wanajinadi kabisa kuwa tops,vers na bottoms lakini hawachukuliwi hatua za kisheria.je ushoga umeachwa uenee bila wasi wasi?.
Inasikitisha sana.
 
Mnawalaumu mashoga na Malaya wakati wateja Ni nyie wenyewe.
 
Ukitazama mitandao ya jamii na mitaani Kuna vijana wanajinadi kabisa kuwa tops,vers na bottoms lakini hawachukuliwi hatua za kisheria.je ushoga umeachwa uenee bila wasi wasi?.
Ndio vitu gani tops, vers na bottoms au mnajuana wenyewe?
 
Back
Top Bottom