Lucky Star
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,874
- 3,215
Kuna watu katika hii dunia wanachojali ni kutengeneza pesa, hawajali matatizo au madhara unayopata mhusika.
Imagine, hawa watu wananufaika nini na kuenea kwa matendo hayo?
Kampeni kubwa ni kueneza kwa gharama yoyote ili wao wavune pesa kupitia mauzo ya vitendea kazi, madawa ya kutibu athari zake pamoja na vifaa tiba.
Wengi wamefanywa mabalozi wa kutetea aidha kwa kujua au bila wao kujua kilichopo nyuma ya pazia.
Kwa hiyo mleta mada, muhimu ni kama mchangiaji mmoja hapo juu.
Linda wanao na wengine unaoweza kuwalinda. Hii ni biashara kama biashara nyingine.