Je, ushoga umeanza kukubalika Tanzania?

Je, ushoga umeanza kukubalika Tanzania?

Mkoani ushoga ni mwingi kuliko Dar na Tanga japo wengi wanaamini kuwa upo sana Dar na Tanga ila sio kweli.
 
Sijakutana na tamthilia ya kifilipino ambayo haina character gay.

Tanzania tumekuta dunia iko mbele sana, tumerukia huku tukiwa nyuma katika nyanja nyingi.
Huwa najiuliza kwann wanapendelea kuwaweka hawa jamaa kwenye muvi hzo nying,pia muvi za kihindi nako huwa nawaona,sjui wanafanya hvyo ili iweje,dunia ishakuwa mbovu hii
 
Mkoani ushoga ni mwingi kuliko Dar na Tanga japo wengi wanaamini kuwa upo sana Dar na Tanga ila sio kweli.
Nipo Tanga.

Ilinichukua mwezi kabla ya kukutana na homo. Eneo linaitwa Pangani.
 
Hivi hizi haki za binadamu aliweka nani? Muumba au sisi wenyewe, je aliyetuumba hakuweka misingi na taratibu zake?
Bado unaamini kwamba kuna aliyetuumba?
Hivyo basi hakuna haja ya mimi na wewe kuendelea na huu mjadala.
 
Sio dar tu mikoa mingi Lindi ulizia Paris club Kuna mashoga Kama wanne maarufu Sana pale
Moro Kuna shoga mmoja Erik,( sio mwenyej kahamia Moro kwa mujibu wa madereva wa pale) alipita sehemu moja mjini mchana peupe, anajishebedua hatari, pale karibu na stend ya bajaji na teks, watu wamemzomea na kumzonga, kila sehemu wakifanya vile labda wataona aibu na kutubu.
 
Inashangaza! Ukiambiwa fulani ni shoga hutaamini, ila ndivyo ilivyo. Ni starehe za watu, wanasema ukijaribu huachi, ni sawa na kula nyama ya mtu. Kale kachumvi kwenye nyama usiombe!!
 
Ukitazama mitandao ya jamii na mitaani Kuna vijana wanajinadi kabisa kuwa tops,vers na bottoms lakini hawachukuliwi hatua za kisheria.je ushoga umeachwa uenee bila wasi wasi?.
Hivyo vitop ndio vinini mkuu? Au ndio maneno yenu kwenye ushoga huko?
 
Kuna ushoga (homosexuality) - sexual orientation/inclination na vitendo vya kishoga (homosexual acts). Mimi nadhani kinachokatazwa ni baadhi ya vitendo vya kishoga na kwa vile hakujafafanulia ushoga ni nini na vitendo vya kishoga vinavyokatazwa ni vipi kuna 'blanket judgement' na 'mchanganyiko maalum'. Which is which?

Usizungushe maneno...

Ushoga iwe ni orientation au acts, ni kitendo cha kula na kuliwa mkunduge, mfano katiba ya bongo imetumia neno ulawiti au wanawake wawili kufanya mapenzi kwa namna yoyote ile...
 
Sijakutana na tamthilia ya kifilipino ambayo haina character gay.

Tanzania tumekuta dunia iko mbele sana, tumerukia huku tukiwa nyuma katika nyanja nyingi.
Wafilipino wengi ni mapunga
 
Homosexuality and homesexual acts ni mental cases

Mental breakdown.

Physical and psychological therapy can heal
 
Back
Top Bottom