Je, ushoga umeanza kukubalika Tanzania?

Je, ushoga umeanza kukubalika Tanzania?

Ukitazama mitandao ya jamii na mitaani Kuna vijana wanajinadi kabisa kuwa tops,vers na bottoms lakini hawachukuliwi hatua za kisheria. Je ushoga umeachwa uenee bila wasi wasi?.
Ashukuruwe Lissu akisaidiwa na Wakili Amsterdam kwa kuwapigania!
 
Yaani serikali iache kufuatilia wananchi wake huduma muhimu zinapatikana waanze kufuatilia watu wazima walioamua kwahiari yao kuzibuana mitaro
 
Watu hawaelewi hii mambo ni bora mpige kimya tu,bongo mashoga ni wengi sana sama hawajabahatika kujua wanaanzaje…Wengi ni maverse na sio Dar tu yaani hata mikoani,na kuna vitu vingi hamjui kuhusiana na ushoga…Unaweza ukawa unapiga kelele humu mashoga wauwawe au sijui vipi kumbe mwanao ni gay tena anapiga kimya kimya au mume au mtu wako wa karibu ni gay ila anafanya kisiri ila bongo ushoga ni mkubwa
 
Ukitazama mitandao ya jamii na mitaani Kuna vijana wanajinadi kabisa kuwa tops,vers na bottoms lakini hawachukuliwi hatua za kisheria. Je ushoga umeachwa uenee bila wasi wasi?.
 
Ukitazama mitandao ya jamii na mitaani Kuna vijana wanajinadi kabisa kuwa tops,vers na bottoms lakini hawachukuliwi hatua za kisheria. Je ushoga umeachwa uenee bila wasi wasi?.
Umeshindwa hata kutaja majina wanayotumia huko mitandaoni?
 
Hili janga linakuwa kubwa sana...

You can't believe kuna kijana mmoja anajua nina mke na familia, ila alinifata akaniambia anata ni mfu****, aisee kuanzia siku hiyo nikakata mazoea na kijana yule
 
Ashukuruwe Lissu akisaidiwa na Wakili Amsterdam kwa kuwapigania!
Ndio maana wenyewe wataambukiza watoto chini ya miaka ya kufanya maamuzi wao kama wao.je umesikia Kenya ilipofikia mpaka waziri wa elimu anaomba watengwe pekee Yao.
 
NA BADO,

HAYA YOTE YANAKUJA SIO KWA BAHATI MBAYA, YAMEPANGWA NA WENYE AKILI. NA YANATEKELEZWA NA WASIO NA AKILI, WATU WALIO KOSA MAONO YA MAISHA YAO.
UNAPEWA MSAADA KUPITIA NGO YAKO, ILI UHUBIRI INJILI YA USAWA WA KIJINSIA, USAWA WA KIUCHUMI

KWAMBA WANAWAKE NA WANAUME WOTE NI WATAFUTAJI WA PESA, NA SUALA LA MALEZI YA WATOTO NI KAZI YA MSICHANA WA KAZI.
BINTI ALIYEKOSA MALEZI MAZURI, ALIYEKOSA ELIMU NZURI, HAWA NDIO TEGEMEO LA WAZAZI WAPUM.BAVU, SIO NDOTO ZAO WALE KUJA KUFANYA KAZI KWENYE MAJUMBA YA WATU NI UMASKINI WA FAMILIA ZAO. AJABU WEWE NDIO UNAWATEGEMEA KWENYE MALEZIYA WATOTO.

JE HUSHANGAI, HAKUNA SEMINA WALA INJILI JUU YA MALEZI YA WATOTO YENYE KUFADHILIWA NA WALE WATU, LENGO NI KUHARIBU KIZAZI KAMA HIVI SASA.

USHOGA HAUOTI KAMA UYOGA , HAUJI KAMA CHAFYA... NI MCHAKATO.
WATOTO WANADHALILISHWA NA WATU WAO WA KARIBU HUKO NYUMBANI KWAKO, SEHEMU ZA IBADA,NA MASHULENI. NA WAZAZI/WALEZI HAWAJUI, NA WAKIJUA MTOTO KISHA HARIBIKIWA!WAKO BIZE KUSAKA PESA.

PESA ZIKIPATIKANA SAFARI YA KUTANGA TANGA KWENYE MAOMBI NA MAOMBEZI KUOMBEA WATOTO WAO MASHOGA ZINAANZA, LEO KWA NABII HUYU KESHO KWA MTUME YULE.!USHAWAHI SIKIA MUUJIZA WA KUPONYESHA SHOGA!?KAMA UPO NA TUANZE NA HAWA SASA.

MTOTO ULIYEMPA JINA LA KIUME LA DINI YAKO, TENA JINA LA MTUME, NABII
LEO ANAONA FAHARI KUINGILIWA MATA.KONI.KANA KWAMBA WALIZALIWA KINYUME NA MAUMBILE YA MAMA ZAO.

UKWELI NI KWAMBA. KICHWA HIKI CHA CHINI HAKINA MACHO, WALA PUA, WALA ULIMI. MWANAO AKIJILETA ANAPAKULIWA VIZURI TU.
 
Ukitazama mitandao ya jamii na mitaani Kuna vijana wanajinadi kabisa kuwa tops,vers na bottoms lakini hawachukuliwi hatua za kisheria. Je ushoga umeachwa uenee bila wasi wasi?.
KWA MUJIBU WA ILANI YA CHAMA, NDIO.
SI UNAONA SIRIKALI IKO JIRANI SANA NA MAKUNDI YA WANAMUZIKI NA MIDIA ZILIZOJAZA MASHOGA.
 
Back
Top Bottom