Je, ushoga umeanza kukubalika Tanzania?

Je, ushoga umeanza kukubalika Tanzania?

Kuwazomea na kumzonga zonga hakumfanyi aache huo ujinga ilibidi huko kumzonga ajitokeze mtu mmoja amchomeke kisu cha tumbo hakuna kinyago angetembea tena mtaani kidole juu.

Wakiuwawa kumi haya mambo hutayaona tena hadharani.
Unapokaa kuna mashoga wangapi na umefanikiwa kuua wangapi??
 
Hili jambo wewe linakufurahisha?

Sijawa bado ktk situation aliyosema mdau hapo juu siku nikiwa nitafanya kitu hata kumjeruhi inatosha kupeleka message kwa wenzake.
 
Kuwazomea na kumzonga zonga hakumfanyi aache huo ujinga ilibidi huko kumzonga ajitokeze mtu mmoja amchomeke kisu cha tumbo hakuna kinyago angetembea tena mtaani kidole juu.

Wakiuwawa kumi haya mambo hutayaona tena hadharani.
Fanya Yako wee mzee. Usipangie watu maisha. Acha watu waishi kwa uhuru wao , kwani wanakudhuru nini ? Hutaki kajichimbie ardhini.

Kwani yote wewe unayoyafanya watu wanayapenda au wanakubaliana nayo ,si wanakuvumilia tu ili mradi hudhuru mtu wanaachana na wewe.

Jifunze ku mind your own issues mzee.
 
Hili jambo wewe linakufurahisha?

Sijawa bado ktk situation aliyosema mdau hapo juu siku nikiwa nitafanya kitu hata kumjeruhi inatosha kupeleka message kwa wenzake.
Nyokoo hebu jaribu kwa mmoja. Labda ufanye huo uhuni wako kifichoni usijulikane otherwise utashughulikiwa ipasavyo
 
Hili jambo wewe linakufurahisha?

Sijawa bado ktk situation aliyosema mdau hapo juu siku nikiwa nitafanya kitu hata kumjeruhi inatosha kupeleka message kwa wenzake.
Hata mimi zamani nilikua nina akili kama Zako nilikua nawaza kwanini hawa mashoga wasiuwawe baadae nikajifunza kitu siwezi kuukumu mtu kwa kumuona mtenda dhambi sana kuliko mimi ,alfu nikawaza piah je mfano angekua mtoto shoga je ntachukua maamuzi ya kumuua nikapata jibu hapan.
 
Sijakutana na tamthilia ya kifilipino ambayo haina character gay.

Tanzania tumekuta dunia iko mbele sana, tumerukia huku tukiwa nyuma katika nyanja nyingi.
Hata Mkorea kusini
 
Hili jambo wewe linakufurahisha?

Sijawa bado ktk situation aliyosema mdau hapo juu siku nikiwa nitafanya kitu hata kumjeruhi inatosha kupeleka message kwa wenzake.

Labda sio Tanzania hii ya baba Nyerere.
 
Sijakutana na tamthilia ya kifilipino ambayo haina character gay.

Tanzania tumekuta dunia iko mbele sana, tumerukia huku tukiwa nyuma katika nyanja nyingi.
Kwani Hawa waigizaji wa kiume wa kibongo wanaoigiza wanawake nao hatuwaoni au wafilipino ndio nongwa?
Huko Pwani kuelekea Zanzibar wasenge ni wengi sana.
Hakuna jipya tangu Sodoma na Gomora isipokuwa versions tu.
Wasenge wapo wengi sana Ila wazungu wameamua kuadvance zaidi kwa kutangaza faragha zao. Wangeendelea kubanduana kimya kimya nadhani sio big deal, tatizo wanapotaka kututangazia ndio mwiko
 
Huwa najiuliza kwann wanapendelea kuwaweka hawa jamaa kwenye muvi hzo nying,pia muvi za kihindi nako huwa nawaona,sjui wanafanya hvyo ili iweje,dunia ishakuwa mbovu hii
mkorea pia
 
Kuwazomea na kumzonga zonga hakumfanyi aache huo ujinga ilibidi huko kumzonga ajitokeze mtu mmoja amchomeke kisu cha tumbo hakuna kinyago angetembea tena mtaani kidole juu.

Wakiuwawa kumi haya mambo hutayaona tena hadharani.
Utatengeneza loophole watu wauane alf wasingizie ushoga
 
Kwani Hawa waigizaji wa kiume wa kibongo wanaoigiza wanawake nao hatuwaoni au wafilipino ndio nongwa?
Huko Pwani kuelekea Zanzibar wasenge ni wengi sana.
Hakuna jipya tangu Sodoma na Gomora isipokuwa versions tu.
Wasenge wapo wengi sana Ila wazungu wameamua kuadvance zaidi kwa kutangaza faragha zao. Wangeendelea kubanduana kimya kimya nadhani sio big deal, tatizo wanapotaka kututangazia ndio mwiko
Dulivan, Joti so many to mention...
 
Kampeni kubwa ni kueneza kwa gharama yoyote ili wao wavune pesa kupitia mauzo ya vitendea kazi, madawa ya kutibu athari zake pamoja na vifaa tiba
As much as siungi mkono, ila hizi hoja mnatoaga wapi? Yaani mtu apige kampeni ya ushoga ili auze vilainishi? Vilainishi vinauzwa laki kwani si mtu atanunua hta babycare or so??

Na hizo athari ni zipi zinazotibiwa?
Nadhani kuna gap la uelewa juu ya hya masuala ya sex orientation.

Anyway Ilitakiwa kwanza ujiulize utafiti wa MEWATA kuwa zaidi ya 35% ya wanawake wanaingiliwa kinyume na maumbile hamkuona ajabu.

Hii inamaanisha vidume ndio wanapenda hya mambo otherwise mashoga wasingepata wateja or boyfriends. Sasa mnapolaumu wazungu ilihali vidume mnaingilia wake zenu kinyume which in turn mnatembea na wanaume wenzenu huoni ni kudivert lawama kwa wasiohusika??
 
Huwa najiuliza kwann wanapendelea kuwaweka hawa jamaa kwenye muvi hzo nying,pia muvi za kihindi nako huwa nawaona,sjui wanafanya hvyo ili iweje,dunia ishakuwa mbovu hii
Kuonyesha diversity na sio mashoga tu mpka walemavu au watu weusi lazma wapewe leading or cameo roles ili kuonyesha kuwa licha ya tofauti zetu ila sisi wote ni binadamu wenye usawa.

In fact huko Asia mfano Thailand 10% ya wananchi wote ni shemale ama niseme wanaume walioongeza hormone za kike na viungo vya kike. Sasa kuwa ignore ina maana utapoteza soko la 10% (pamoja na waume zao) so hizo hesabu ndio zinalazimu utambue uwepo wao and that's about it.
 
IMG_20211230_091854.jpg
 
Shemale nilkuwa nazan ni maujanja ya computer yanafanyika wanaonekana hvyo,kumbe kuna watu kabsa wako hvyo
 
Back
Top Bottom