Bright eyes
JF-Expert Member
- Dec 7, 2021
- 228
- 303
Mmh ! Kwa ushahidi ganiHomosexuality and homesexual acts ni mental cases
Mental breakdown.
Physical and psychological therapy can heal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh ! Kwa ushahidi ganiHomosexuality and homesexual acts ni mental cases
Mental breakdown.
Physical and psychological therapy can heal
Mashoga wamezidi mpendwa, utom boy kujifanya,msela swaga za kiume aka mgumu, Bora useme usagaji ueleweke, msagaji anaweza kuwa na swaga za kikike tu kawaida mrembo kumbe msagaji.Hapa tutofautisheni jaman kuna ushoga wa kilema yaani wakuzaliwa nao halafu kuna ushoga wakujitengeneza mwenyewe..Wakuu mnavyojaribu kuhukumu swala la mashoga muangalie hili swala kwa undani zaidi na sio kwa wanaume tu wapo nawanawake ambao pia nao wanau tom boy pia na hawa waanaharibu watoto wetu wa kike
Hata za south africa mdogo mdogo tutazoeaSijakutana na tamthilia ya kifilipino ambayo haina character gay.
Tanzania tumekuta dunia iko mbele sana, tumerukia huku tukiwa nyuma katika nyanja nyingi.
Kumbe bwana mwendazake alishawapa hifadhi magasho halafu akawa anajifanya mkaksi kwelikweli 😃😃Serikali ya CCM imekuwa ikilazimisha ushoga Tanzania.CCM ni chama cha mashetani.
View attachment 2057755
Mkuu kuna tofauti kubwa kati ya sexual orientation/inclination na sexual act - iwe kwa homosexuals au heterosexuals. Kama huwezi kuiona, basi hujaelewa maana na tofauti kati ya sexual orientation na sexual act. Mimi nimeyasoma kwenye kozi inayoitwa 'philosophical ethics' na 'moral dilemmas'Usizungushe maneno...
Ushoga iwe ni orientation au acts, ni kitendo cha kula na kuliwa mkunduge, mfano katiba ya bongo imetumia neno ulawiti au wanawake wawili kufanya mapenzi kwa namna yoyote ile...
Ondoa hio SHOGA hapo. Ukila shoga na ww ni shoga pia.TAMKO LETU SISI MARIJALI
KARANGA ZIPO,
NAZI MBICHI ZIPO,
MIHOGO MIBICHI IPO,
SUPU YA PWEZA IPO
TUTAENDELEA KUYAWEKA SAWA MADUNGU.TAYARI KUDUNGU YEYOTE SHOGA NA MAMAKE IKIWEZEKANA
Yule ni kwikwi iko siku atatuletea clip yake humuNgoja cocastic aje asikie
Ushahidi unao mwwnyewe chumbani kwakoMmh ! Kwa ushahidi gani
HAPA UNA MAANISHA SHOGA DUME NA SHOGA JIKE.Ondoa hio SHOGA hapo. Ukila shoga na ww ni shoga pia.
Tupe code mkuu😋😋😋Hali mbaya kwakwel Hadi watu ambao wako na nyadhfa zao wanataka kupumuliwa
So? Unataka ihalalishwe?Sijakutana na tamthilia ya kifilipino ambayo haina character gay.
Tanzania tumekuta dunia iko mbele sana, tumerukia huku tukiwa nyuma katika nyanja nyingi.
Huwezi amini sijaelewa kwanini umeniuliza hiviSo? Unataka ihalalishwe?
HovyoooUshahidi unao mwwnyewe chumbani kwako
Moro Kuna shoga mmoja Erik,( sio mwenyej kahamia Moro kwa mujibu wa madereva wa pale) alipita sehemu moja mjini mchana peupe, anajishebedua hatari, pale karibu na stend ya bajaji na teks, watu wamemzomea na kumzonga, kila sehemu wakifanya vile labda wataona aibu na kutubu.
Kwahiy unataka watanzania tuanze kuuana [emoji2][emoji2][emoji2]Kuwazomea na kumzonga zonga hakumfanyi aache huo ujinga ilibidi huko kumzonga ajitokeze mtu mmoja amchomeke kisu cha tumbo hakuna kinyago angetembea tena mtaani kidole juu.
Wakiuwawa kumi haya mambo hutayaona tena hadharani.