Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
tena kwa ukamilifu kabisa. Hakuna tofauti ya ushuzi na uharo hapo. Kila akijamba itakuwa lazima aweke mkono kuhakiki kama imetoka hewa tu ana kuna ki package kimeambatana.Nawe mkuu umeshaumaliza mwendo?!😳
Sio dar tu mikoa mingi Lindi ulizia Paris club Kuna mashoga Kama wanne maarufu Sana paleNdio nini hizo tops, vers na bottoms elezea kinaganaga wengine hatupo huko daslamu kwenye mambo hayo?
pole ulikuwa bado mdogo...hizi ni za kizamani haswaUkitazama mitandao ya jamii na mitaani Kuna vijana wanajinadi kabisa kuwa tops,vers na bottoms lakini hawachukuliwi hatua za kisheria.je ushoga umeachwa uenee bila wasi wasi?.
Haki ya maadili.Kwani ushoga unakiuka sheria ipi ya haki za binadamu?
Ushoga hadharani hauruhusiwi lengo kuokoa kizazi.Kuna ushoga (homosexuality) - sexual orientation/inclination na vitendo vya kishoga (homosexual acts). Mimi nadhani kinachokatazwa ni baadhi ya vitendo vya kishoga na kwa vile hakujafafanulia ushoga ni nini na vitendo vya kishoga vinavyokatazwa ni vipi kuna 'blanket judgement' na 'mchanganyiko maalum'. Which is which?
hakuna jipya chini ya jua. Ni muendelezo wa sodoma na ghomora. Picha bado linaendelea.Ukitazama mitandao ya jamii na mitaani Kuna vijana wanajinadi kabisa kuwa tops,vers na bottoms lakini hawachukuliwi hatua za kisheria.je ushoga umeachwa uenee bila wasi wasi?.
Utanikumbuka...Haki ya maadili.
Mbona kama wewe,hatari sana iyo sio njia mpya wala ni za zamni njia mpya ni hizi nguo zenye upinde wa mvua, ukikuta vibukta hivi vina upinde wa mvua alafu ina zipu ogopa sana usivae hata mara moja, nilipewa siri na jamaa flani kwamba zile zenye zipu huwa zinageuzwa nyuma mbele alafu shoga anainamisha for emejency ,
ilishawah mtokea uyo jamaa ni muangalix wa hotel flan hiv sasa siku, mteja wake wa kiume akamuita amsaidie jambo ndo akakutana na jambo kama ilo jamaa alikua kageuza iyo bukta nyuma mbele alafu kaacha wazi akawa anajiinamisha inamisha kama anatafuta kitu, yule jamaa kuona vile mzigo ukashtuka ndo yule mteja akamwambia wafanye.
sijui aliishia wapi maana maadil ya hotel yao haayaruhusu muhudumu kufanya jambo na mteja
Kwani Uzinzi, Umalaya/Ukahaba, Ulevi, Uchezaji Kamari, Uraibu wa Dawa za Kulevya, na Wizi Umekubaliwa Nchini?Ukitazama mitandao ya jamii na mitaani Kuna vijana wanajinadi kabisa kuwa tops,vers na bottoms lakini hawachukuliwi hatua za kisheria.je ushoga umeachwa uenee bila wasi wasi?.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umejua kunichekesha leoDooh.kumbe na wewe NI mtetezi wa haki za binadamu
Inasikitisha sana.Ukitazama mitandao ya jamii na mitaani Kuna vijana wanajinadi kabisa kuwa tops,vers na bottoms lakini hawachukuliwi hatua za kisheria.je ushoga umeachwa uenee bila wasi wasi?.
Ndio vitu gani tops, vers na bottoms au mnajuana wenyewe?Ukitazama mitandao ya jamii na mitaani Kuna vijana wanajinadi kabisa kuwa tops,vers na bottoms lakini hawachukuliwi hatua za kisheria.je ushoga umeachwa uenee bila wasi wasi?.